Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora
Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa maboresho ya kukidhi matakwa ya utawala wa chama kimoja na kisha kukubali mfumo wa vyama vingi kwa shingo...
Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma.
Katika hili...
Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi Bei Elekezi na ndugu yangu Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi.
Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema...
Mimi natoa ushauri kwa Raisi Samia asisite kwenye swala la katiba kwasababu zifuatazo
1. Akisita wasiopenda katiba kwa manufaa binafsi kama mzee wetu mstaafu wa awamu ya 4 watapa mwanja wa kukushauri na kuongeza uoga wako
2. Manufaa kwa nchi ni makubwa sana kuliko manufaa ya siasa mfano mambo...
Katiba ya nchi ni nyaraka muhimu sana katika kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika utekelezaji wa katiba hii, ambazo zinahitaji hatua za haraka kutoka kwa serikali na wananchi.
Moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa uwazi na uwajibikaji. Serikali...
Amekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu:
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, amesisitiza umuhimu wa kupatikana kwa Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Lissu ameonya kuwa ikiwa maridhiano hayatapatikana, Chadema itaathiriwa. Rais...
Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria.
Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo:
1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya:
Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
#Storyofchange2023
Mwandishi: Wa Kale
Mawasiliano,
Email: officialmapatotz@gmail.com
Simu: +255745922142
Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu.
Ikiwa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda
Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
elimu
elimu ya awali
elimu ya msingi
kamati
katibakatiba mpya
kitaifa
kubadilisha
maboresho
maoni
mfumo
mitaala
mitaala ya elimu
mpya
msingi
rasimu
rasimu ya elimu
ripoti
sekondari
sera ya elimu
serikali
ualimu
walimu
Habari,
Mimi ni msomaji wa vitabu na nimekuwa nikisoma vitabu vya kila aina. Changamoto inakuja kwenye hiki kitabu kinachoitwa katiba, licha ya kukisoma mara kwa mara bado nakisoma kama novel kwani kuna baadhi ya maneno siyaelewi.
Naomba utofauti kati ya;
1. IBARA
2. IBARA NDOGO
3. KIFUNGU
4...
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.