katiba

  1. ONJO

    Je, Katiba mpya ni mhimu kwa sasa?

    Habari zenu wanaharakati.. Nimekubali kuwa mjinga ili nielewe umhimu wa kuwa na katiba mpya. Najieleza, katiba ni muhimu kwa nchi yeyote kwani ndiyo inayotoa mwongozo katika utungaji wa sheria na kanuni, na ni mwongozo katika utekelezaji wa miradi ya kimaendeleo hasa taifa la tanzania. Hoja...
  2. M

    Marekebisho muhimu ya Katiba yetu

    Yafuatao ni maoni na mtazamo wangu binafsi juu ya uwepo wa haja kubwa ya Marekebisho ya haraka ya Katiba yetu ya JMT kulingana na mahitaji ya sasa. Marekebisho haya yafanyike haraka na mapema kabla ya Uchaguzi wa 2025 kwa sababu tunakoelekea kwa sasa hivi ni hatari zaidi kwa amani na Usalama wa...
  3. Hismastersvoice

    Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu! Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
  4. benzemah

    Wenje: Magufuli angekuwa hai, asingekubali"ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
  5. Roving Journalist

    Kamati ya Katiba na Sheria Bungeni yashauri Idara za Serikali kumtumia Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote uchapishaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
  6. B

    Katiba Mpya tutumie ile ya Warioba badala ya kuteketeza pesa

    Binafsi kama mpenda maendeleo. Mimi ningekuwa Mama ningependekeza katiba ya warioba iongezewe vitu vichache tu. Tutengeneze Mtandao ambao raia watatoa maoni yao kwa kuna AI sasa hivi tunazichakata hizo taarifa within a few days(wazee wa data science na python wapo mtaani kibao). Then inapelekwa...
  7. ThisisDenis

    Katiba mpya ni chachu ya mabadiliko tanzania?

    Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama husika kitakua na mabadiliko ya lweli ju ya wananchi wake
  8. T

    Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025-2050 na Katiba mpya kama njia za kujenga upya( Rebuilding). Hakika Rais Samia anastahili pongezi kubwa

    Serikali ikiwa ipo katika mchakato wa matayarisho ya dira mpya ya Taifa ya maendeleo ya miaka 25 ijayo kuanzia 2025-2050 na hapo hapo kukiwa na mkakati wa kuendeleza mchakato wa katiba mpya, kwa hakika nauona mwanzo mpya chini ya Rais Samia. Rais Samia akiwa anaongozwa na falsafa za 4R zikiwa...
  9. comte

    Kimbelembele cha wanasheria ndiyo chazo cha katiba na sheria za hovyo

  10. Guselya Ngwandu

    Kwa sasa tunamuhitaji Rais Samia Suluhu kuliko Katiba Mpya

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Kwanza pongezi sana kwa kila anayetamani Katiba Mpya kwa sababu nia ya Rais Samia Suluhu kutekeleza nia yake inaonekana wazi. Kwenye Bunge lijalo la Bajeti, Wizara ya Katiba na Sheria inaenda kuomba pesa kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya. Ni wazi 'Mama'...
  11. Replica

    Kenya: Waislamu wadai ni dhihaka IGP kupiga marufuku maandamano yaliyoruhusiwa na Katiba

    Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi. MUHURI imemkumbusha IG...
  12. Pascal Mayalla

    Ikitokea umeshauri mtu avae Hijab nyekundu, huyo mtu akavaa, utajisikiaje? Kwa hili, Big Up Rais Samia na Serikali yako kwa kuwa wasikivu

    Wanabodi Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa. Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and events", kuzungumzia watu na matukio, lakini ni mabandiko machache sana humu ni ya mawazo tuu na vitu vya...
  13. Mganguzi

    Rais umewasikiliza wanaotaka katiba mpya! Je, sisi tusiotaka katiba mpya utatusikiliza lini? Tuna hoja!

    Asalaam ndugu zangu.. Nianze kumpongeza Rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya. Wamesikilizwa, na ninasikia mchakato karibia utaanza. Ni jambo jema. Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo. Hatuhitaji katiba mpya na tuna...
  14. Issakson makanga

    Kabla ya katiba mpya ya nchi, tunahitaji maboresho ya katiba za vyama hasa CCM

    Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni. Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia...
  15. MoseKing

    Wakati kelele za Katiba mpya zikikolea, Ni yapi makubaliano kwenye "Muundo wa muungano, Mahakama ya kadhi, Muundo wa Tume huru na Mamlaka ya Teuzi?

    Bila makubaliano na haya. Tutegemee kukwama tena
  16. Wakili wa shetani

    Ni kweli kuwa Mbowe aliondoa ukomo wa uongozi kwenye katiba ya CHADEMA kwa hila?

    Nimeona hii habari huko Twitter. Inasema kuwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CDM mwaka 2004. Wakati huo katiba ya chama ilikuwa imezungumza kuwa kutakuwa na ukomo wa miaka kumi kwa mwenyekiti. Mwaka 2006 yalifanyika mabadiliko ya katiba. Lakini suala la ukomo wa uongozi halikuzungumzwa kwenye...
  17. Stephano Mgendanyi

    Nyumba 196 Zilizojengwa na WHI Jijini Dodoma Zaikosha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria

    NYUMBA 196 ZILIZOJENGWA NA WHI JIJINI DODOMA ZAIKOSHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama amesema kamati yake imeridhishwa na viwango vya nyumba 196 zilizojengewa na Watumishi...
  18. Thailand

    CCM Wezesheni upatikanaji wa KATIBA mpya kumbukeni siku yaja nanyi mtakuwa chama cha upinzani

    Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe. Chini ya CCM tunaona namna nchi...
  19. B

    Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

    Amekiri Freeman Mbowe kuwa wapo makamanda wengi waandamizi kwa sasa hawamwelewi. Msimamo wetu ulikuwa mwema sana kabla ya hoja ya maridhiano. Kwamba bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Hivi kweli uchaguzi utakuwaje wa haki bila ya kuwapo katiba mpya yenye tume huru ndani yake? Kwamba tumekubali...
  20. T

    Katiba itatoa dawa ya Uzalendo ama tunalilia tusichokijua kwanza?

    Kuweka tumaini kubwa kwenye katiba kwamba ndio itamaliza matatizo yetu yote, ni kujidanganya. Sina hakika na siamini kama vyama vyetu vyenyewe ikiwa katiba zao zimetoa nafasi kwa viongozi wake wawe ni wa kudumu na kwamba hawawezi kutoka mpaka waseme basi,, Si kweli, zaidi sana wanakosa kitu...
Back
Top Bottom