Salam zangu ziwafikie Kabudi, Warioba na Polepole.
Sasa nawaelewa rasmi kwamba maoni ya wananchi yalikuwa sahihi.
Muundo wa Serikali tatu Sasa unaanza kuonekana ni mhimu ukawepo. Serikali Moja na hii ya Sasa zinamapungufu mengi.
Swali la kwanza
Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa?
Majibu tota kwa mdau
@G na wadau wengine Swali la kwanza.
Kuna aina mbalimbali za mikataba ambazo zinaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa ni kweli. Hapa kuna baadhi ya mifano:
1...
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
ccm
governance23
katibakatiba mpya
katiba mpya ccm
katiba mpya tanzania
kuuza mali za umme
mali za umma
mpya
rasilimali
rasilimali tanzania
siasa
tanzania
Sababu kubwa inayotolewa ya kwanini tunahitaji katiba mpya na si kufanya marekebisho kwenye katiba ya sasa, ni kwamba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikushirikisha wananchi. Kama ni mapungufu yangefanyika marekebisho na kukidhi mahitaji ya sasa kama ambavyo Katiba ya...
Wakati safari ya Watanzania kwenda kupata Katiba mpya ikiendelea, Balozi Willibrod Slaa ameukosoa mchakato huo, akisema kinachofanyika ni kiinimacho na hakina uhalali kisheria.
Hoja ya mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, inajengwa kwenye msingi kwamba “Katiba haipaswi...
Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya.
Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania Urais kwa kipindi cha 3.
Kupitia hotuba yake kwa Taifa, Rais Touadera ameeleza kuwa tayari...
Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika...
Ibara ya 13 (1) imetanabaisha wazi kabisa kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi.
Leo hii CCM wanaenda kupitisha sheria ambayo itawapa kinga maofisa wa TISS wakifanya makosa . Hii ina maana gani?
Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara...
Ni wazi kuwa katiba ya sasa imepitwa na wakati kwa sababu kuu mbili. Kwanza, katiba ya sasa ina chembechembe za ukoloni. Na kama tujuavyo ukoloni ulijaa ukandamizaji, unyimaji wa haki na utawala wa mabavu. Pili, katiba ya sasa imejaa viraka vingi ambavyo viliingizwa kwa mihemko au kwa ajili ya...
Juni 2020 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha mabadiliko ya sheria mbalimbali ikiwemo muswada wa sheria ya kuwapa kinga viongozi wakuu wa nchi akiwemo Rais na makamu wake,Jaji Mkuu pamoja na Spika na naibu wake ambao ilielezwa kwamba hawapswi kushtakiwa wakiwa madarakani na...
Katiba mpya ikishaundwa na kukamilika haianzi kutumika mpk pale sheria na kanuni zitakapobadilishwa ili kuendana na katiba hiyo.
Ikiwa mpk Sasa katiba haijaanza kuundwa kukiwa kumebaki miezi michache tuingie kwenye uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa na baadaye uchaguzi mkuu, hiyo katiba...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewataka watanzania kuungana na Chama hicho katika madai ya kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (2024) na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Lissu ametahadharisha kuwa Katiba Mpya isipopatikana kabla...
Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila.
Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya.
Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
Habari jf,
Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo .
Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako...
Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote.
Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo.
Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi...
SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO
Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.