Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...