katibu mkuu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  2. M

    Emmanuel Nchimbi anaenda kuwa katibu mkuu bora kabisa wa CCM

    Salam kwenu. Katika mkutano wake na makatibu matawi na kata katika wilaya ya Dodoma ameweka vipimo mathubuti kuelekea uchaguzi mkuu. Kwa maelekezo yake thabiti dhidi ya watia nia wote tutarajie haki wakati wa mchakato na uchaguzi wenyewe. Kuna wahuni walishaanza kutaka kupita bila kupingwa 😂😂...
  3. C

    Pre GE2025 Mbunge wa CCM Moshi Mjini, Priscus Tarimo aishtaki Bendi ya Polisi kwa tuhuma ya kufanya siasa

    MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi (CCP) ambayo ilikuwa inatumbuiza kwenye sherehe ya Kumuaga binti wa Tajiri wa Moshi...
  4. Erythrocyte

    Pre GE2025 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

    Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo. Sasa angalia mwenyewe...
  5. Tlaatlaah

    Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  6. The Palm Beach

    Video: Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan jana 17/9/2024 ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Moshi - Kilimanjaro

    Moderator JF: 1. Tafadhali usiunganishe uzi huu na mwingine. Uchambuzi huu muktadha na maudhui yake ni tofauti kabisa na chambuzi za wengine waliokwisha kupost humu akiwemo Mama Amon........... 2. Uchambuzi huu unaofanywa na mwandishi nguli wa habari za kiuchunguzi anayeishi uhamishoni...
  7. Venus Star

    The Truth: Dkt. Nchimbi ni kiongozi mwenye maono na anajua demokrasia

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi, ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anajulikana kwa kuwa kiongozi mwenye maono (visionary leader) na anayejali misingi ya demokrasia. Kumsifia kama kiongozi mwenye maono ina maana kuwa ana uwezo wa kutazama mbele, kuweka mikakati ya muda mrefu, na...
  8. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  9. A

    Tetesi: Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa makamu mwenyekiti, Paul Makonda Katibu Mkuu na Amos Makalla kubaki Katibu wa itikadi na uenezi

    Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano. Soma Pia: Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo...
  10. Matulanya Mputa

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  11. USSR

    Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM balozi Nchimbi

    BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA UTANGULIZI Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani...
  12. F

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
  13. GENTAMYCINE

    Katibu Mkuu CCM Dk. Nchimbi: Wanaoanguka ( Wanaotoswa ) CCM waache Nongwa

    Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga. Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
  14. Sir John Roberts

    Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  15. N

    Kuna nafasi hazijawahi kutwaliwa na wanawake, Makamu mwenyekiti CCM na Katibu mkuu CCM, kwanini?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke. Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo nafasi haziwezi kutwaliwa na mwanamke huko ccm? vipi katibu mkuu ccm haiwezekani akapewa mwanamke pia...
  16. Huihui2

    Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

    Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia. Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika. (Haya ni maneno ya...
  17. BARD AI

    Hatma ya Katibu Mkuu CCM kujulikana leo

    Barua inayodaiwa kuandikwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuhusu kujiuzulu wadhifa huo, ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho leo. Katika kikao hicho kinachofanyika Ikulu ya Dar es Salaam, Chongolo ni miongoni mwa...
  18. Jidu La Mabambasi

    Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  19. Mr Sir1

    Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

    Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua. Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali?? Kushukuru ni kama vile kila mtetezi anafanya msaada.
  20. J

    Karibu Singida Katibu Mkuu CCM

    Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
Back
Top Bottom