katibu mkuu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Wahitimu wa vyuo vikuu wapewe mikopo kwa kutumia vyeti

    Ndugu msomaji mimi Leo nimeona nitoe pendekezo kwa Serikali kuangalia ni jinsi gani ikawasaidia vijana wanaohitimu Vyuo vikuu kutumia vyeti vyao kupata mikopo ya kuanzisha biashara mara baada ya kuhitimu. Kama Serikali ilivyowasaidia vijana hawa kupata mikopo ya kusoma Vyuo basi ni bora pia...
  2. JanguKamaJangu

    Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni. “Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul...
  4. B

    Katibu Mkuu wa CCM kuwa mgeni rasmi Uzinduzi wa barabara Kibaha

    Leo Jumanne Februari 22, 2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Barabara ya Uongozi yenye Km 1.8 Mjini Kibaha kuanzia saa 3 na nusu Uzinduzi huu wa Barabara utarushwa Mbashara kupitia Channel 10, TBC, Wasafi TV pamoja na...
  5. W

    Katibu Mkuu CCM taifa Daniel Chongolo afunga kambi la UVCCM wilaya Muleba

    KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA. Kagoma, Muleba. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM Taifa Amefunga kambi la UVCCM lilioandaliwa na Uongozi wa UVCCM Wilaya Muleba Chini ya Mwenyekiti wake...
  6. Kabende Msakila

    Katibu Mkuu CCM, tusaidie haya wilayani Kakonko

    Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:- (a) Jumuiya za chama Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa ajili ya kupanua wigo wa utendaji kazi na kupunguza utegemezi kwenye chama - miradi ipo mingi sana...
  7. J

    Morogoro: Katibu Mkuu CCM atembelea mradi wa treni ya mwendokasi kipande cha stesheni ya Kilosa - Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021. Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam #KaziInaendelea #ChamaImaraSerikaliImara
Back
Top Bottom