katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Aliyekuwa Katibu Mkuu Necta asitisha utekelezaji Mtaala Form One 2023

    Sijui anaitwa msonde!? Ambaye ni naibu katibu Mkuu Tamisemi Ameelekeza kistopisha ufundishaji wanafunz wa kidato cha kwanza mwaka huu 2023 sababu kubwa ikiwa ni KKK. Walimu Wakuu wote nchini wanatakiwa kutekeleza order ya mkubwa huyo. Najiuliza hivi mauzauza haya yatakoma lini. Badala ya...
  2. B

    Naibu katibu mkuu fedha azipongeza TIRA na benki ya CRDB uanzishwaji wa akaunti ya dhamana ya bima

    Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account). Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
  3. Mbunge Mtaturu - Ikungi yatekeleza agizo la Katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa 100%

    Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
  4. W

    Karibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

    Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina. 1. Mapitio ya sera ya Elimu. 2. Mapitio ya mitaala kwa...
  5. Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
  6. J

    Karibu Singida Katibu Mkuu CCM

    Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
  7. Chawa wa CCM wanaitangaza ziara ya Tundu Lissu badala ya Katibu Mkuu wa CCM

    Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana. PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio. CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA...
  8. Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
  9. Katibu Mkuu wa CCM asikitishwa na wananchi Morogoro kutozwa Sh 7,000 bili ya maji yasiyotoka, aagiza TAKUKURU kuchunguza na kuwatia pingu wanaohusika

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah. Kauli hiyo ameitoa leo...
  10. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  11. R

    Katibu Mkuu Kiongozi, ondoa wizi unaofanywa kupitia malipo ya cash kwa watumishi na wazabuni kupitia OC, fedha zilipwe kwenye akaunti

    Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
  12. Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Diwani Athman atenguliwa ikulu. ========= Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
  13. Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
  14. Dk bashiru ndiye katibu mkuu kiongozi aliyedumu kwa muda mfupi zaidi,siku 37 tu!

    aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
  15. Kwako Lusinde na Kenani; Dkt. Bashiru aliwahi kusema maneno haya akiwa Katibu Mkuu wa CCM. Je, hamkumuelewa enzi zile?

    KWAKO MH LUSINDE NA MH KENANI;DK BASHIRU ALIWAHI KUSEMA MANENO HAYA AKIWA KATIBU MKUU WA CCM,JE HAMKUMUELEWA ENZI ZILE!? Leo 17:50hrs 20/11/2022 1. "Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu cha CCM na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi,mijizi,wameiba...
  16. Watendaji Chuo cha Muhimbili watakiwa kujitathimini, wapewa miezi mitatu ya uangalizi

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Chuo cha kati Elimu ya Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUCOHAS) kujitathimini katika uwajibikaji wao na namna ya Uongozi unavyoendesha mambo yake. Prof. Makubi ameyasema hayo Oktoba 30, 2022 wakati alipokitembelea chuo...
  17. Mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwa Katibu Mkuu?

    Mary Chebukati, mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, ni mmoja wa watu 477 ambao wameorodheshwa kwa nyadhifa 49 za Makatibu Wakuu (PS) na Tume ya Utumishi wa Umma (PSC). Baadhi ya Makatibu Wakuu waliohudumu chini ya utawala wa Rais wa zamani Uhuru...
  18. Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  19. Waliotapeli kwa jina la Dr. Abbas na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe wakamatwa

    Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa lengo la kutapeli pamoja na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe. Baada ya upekuzi walikutwa na Kadi za Simu...
  20. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Abbas anazungumza leo Septemba 16, 2022

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…