Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba na kumuahidi kukitumikia, kukisimamia na kukiimarisha zaidi Chama Cha Mapinduzi.
Chongolo amemhakikishia Mzee Msekwa...
Hebu kulalamika na kulaumu tu pause kidogo.
Chukulia umepata nafasi ya kuwa Rais wa JMT, Waziri Mkuu, Waziri, Katibu Mkuu kwenye wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mbunge, Diwani, na kadhalika na kadhalika.
Ki ujumla we ni mtu uliyepo kwenye system na kuwa sehemu ya maamuzi kwa ajili ya nchi...
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, kimefanya Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya ambaye ni Wakili Msomi Jackson Ndaweka.
Uteuzi umefanyika kwa Mapendekezo ya majina mawili , Michael Washa na Jackson Ndaweka , na Wakili msomi kushinda...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU
CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema
(I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada...
Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
Amechaguliwa leo kwenye Mkutano Maalum ulioitishwa Mwanza ili kuziba pengo la wale Corona 19 waliovuliwa uanachama.
=====
Sharifa akabidhiwa mikoba ya Mdee Bawacha
Chama cha Chadema kimemteua Sharifa Suleiman kuwa kaimu mwenyekiti wa Baraza la wanawake la chama hicho (Bawacha) ambapo...
Balozi Joseph Edward Sokoine alimtembelea Tundu Lissu Hospital Belgian baada ya tukio hili alirejeshwa nyumbani haraka.
Leo Mh Rais Mama Samia Suluhu kamteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Pia soma> Tundu Lissu: Balozi Joseph Sokoine alirudishwa...
Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho
Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya...
Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi.
Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa...
Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.
Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi...
Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Udugu hazina kubwa.
Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini.
Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo.
1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali.
2. Epuka kutumia approach za...
Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuri.
PIA SOMA: Daniel Chongolo apendekezwa kuwa Katibu Mkuu CCM
DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Chama kimempitisha kwa kauli moja.
Hatimaye Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejaza nafasi ya ukatibu mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.