katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi afanya ziara wilaya ya Kyerwa. Wananchi waishukuru Serikali kuwapelekea fedha nyingi za miradi

    KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI. 14.12.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Kenan Kihongosi: Asante na shukrani kwa Chama Chetu cha Mapinduzi

    KATIBU MKUU UVCCM: ASANTE NA SHUKRANI KWA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI. Na Kenan L. Kihongosi KATIBU MKUU UVCCM Kwanza namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa uzima na Afya njema. Pili nakishukuru Chama Cha Mapinduzi sambamba na Mweyekiti wake ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...
  3. Stephano Mgendanyi

    Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING

    Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING maalum ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza wana CCM Vyuo SENATE iliyoandaliwa na Uongozi wa SENATE Mkoa wa Pwani chini ya Mwenyekiti wake Ndg Adam Salehe siku ya Jumamosi ya Tar...
  4. J

    Katibu Mkuu Umoja wa Posta Afrika (PAPU) awasili jijini Dodoma

    KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) AWASILI JIJINI DODOMA Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU),Bwana Sifundo Chief Moyo amewasili jijini Dodoma akiambatana na msaidizi wake Bi Jessica Uwera Ssengooba kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Siku Posta Duniani yatakayofanyika tarehe 9...
  5. T

    Vita vya kusaka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara vyapamba moto

    Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli. Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi hiyo kutokana na tuhuma kadhaa za kimaadili. kUTOKANA na vyanzo vya uhakika wafuatao wako vitani...
  6. jollyman91

    Katibu Mkuu wa UN: Nimeshtushwa na hatua ya Ethiopia kuwatimua maafisa wetu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na msemaji wake mjini New York, Guterres amesema, "nimeshtushwa na habari kwamba serikali ya...
  7. beth

    New York: Rais Samia akutana na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres

    Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres‬ Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ikiwemo athari za kiuchumi na kijamii za COVID-19, utekelezaji ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) pamoja na Ulinzi na Usalama Barani Afrika Rais wa...
  8. Political Jurist

    Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini

    ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia...
  9. B

    Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Angola nchini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro de Oliveira Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 09 Septemba, 2021 Makao Makuu ya CCM Dodoma, ambapo Balozi aliambatana na mwakilishi wa Chama Tawala cha Angola...
  10. Stephano Mgendanyi

    Katibu mkuu uvccm taifa azindua dar es salaam jogging club kwa kishindo

    KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam Iliyoandaliwa na UVCCM Mkoa Wa Dar Es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa wakati akizindua...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Katibu mkuu wetu J. Mnyika amepwaya sana

    Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu. Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu. Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa. Ona ishu ya tozo, kodi ya nyumba via luku nk. Yupo kimya tu kana kwamba amelidhika. Huyu ndio...
  12. The Sheriff

    Elias Mpedi Magosi, mrithi wa Dkt. Stergomena Tax kiti cha Ukatibu Mkuu wa SADC

    Elias Mpedi Magosi Elias Mpedi Magosi ameidhinishwa kukalia kiti cha Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), akimrithi Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Mtanzania aliyehudumu nafasi hiyo tangu mwaka 2013. Dkt. Tax ni mwanamke wa kwanza kabisa kuiongoza SADC katika...
  13. Stephano Mgendanyi

    Daniel Chongolo akemea watendaji wa Serikali wanaochelewesha kuidhinisha fedha za miradi ya maendeleo nchini

    DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
  14. Stephano Mgendanyi

    Katibu Mkuu wa CCM atoa maelekezo matatu mahususi kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali nchini

    TAARIFA KWA UMMA KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
  15. P

    CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

    Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali. Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya. Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana. Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya...
  16. Camilo Cienfuegos

    #COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

    Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5. Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais. Una maoni gani kwa wana CCM hao...
  17. Mwl.RCT

    CHADEMA: Benson Kigaila aongea na Wanahabari

    Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila afanya mkutano na waandishi wa habari leo jumamosi tarehe 7 August 2021 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
  18. CCM Music

    John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo. Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
  19. Stephano Mgendanyi

    Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi akiongea na Wanahabari Agosti 03, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA KATIBU MKUU WA UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AKIONGEA NA WANAHABARI AGOSTI 03, 2021. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kenani Kihongosi alianza kwa kumshukuru Mwenyezimungu na kutoa salamu za pole kwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe...
  20. The Assassin

    UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
Back
Top Bottom