katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  2. KakaKiiza

    Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  3. W

    Mbinu zilizotumika kuzuia Uzimwaji wa Mitandaoni katika Nchi za Bara la Asia na Oceania. Tanzania tunachakujifunza hapa

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  5. Mapenzi ya Mungu

    Katika harakati za kujenga nyumba ulikutana na changamoto gani!?

    Ukiachilia uwepo wa Mafundi, na matilio kama mchanga, kokoto, sumeti na uwepo wa fedha!?
  6. Eli Cohen

    Kisa tu ulitoka familia duni halafu haukusoma then ukapata vijisenti sasa huko mitandaoni unabwekea watu "eti kwanini mnasoma?"

    Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates. Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda. Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa...
  7. MwananchiOG

    Kuna yeyote aliyeona mabadiliko yoyote katika uwanja wa Mkapa?

    Baada ya kutazama mchezo wa Azam hapo jana, Binafsi sijaona mabadiliko ya maana katika uwanja wa Mkapa licha ya mabilioni yaliyomwagwa, kufungiwa kutumika mara kwa mara na muda mrefu kupita tangu ukarabati huo uanze. Pitch bado haina mvuto kama ilivyo kwa viwanja vingine vikubwa, LED Display za...
  8. KingPower

    Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
  9. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  10. Yoda

    Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

    Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake. Kinachonishangaza ni mwanaume kutaka Fatma Karume asizingatiwe kwa haki sawa wakati yeye ndiye aliyechangia zaidi katika...
  11. Manfried

    Post picha hapa ya Tanzania isiyooneshwa katika TV

    Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV . Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi. Kupitia picha hizi Serikali na wadau wa Maendeleo wanaweza kufanya jambo Asante.
  12. Eli Cohen

    Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  13. Rorscharch

    Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

    Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia: 1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
  14. Loran

    GHARAMA ZA KUJIFUNGUA KATIKA HOSPITALI YA LUGALO AU PRIVATE

    Habari Naomba kuuliza gharama za kujifungua katika hospital hizi private IPI gharama nafuu Na hii ya Jeshi lugalo Gharama zake zimekaaje
  15. Moaz

    SABABU ZA AFRIKA KUSHINDWA KUBADILISHA MAARIFA NA ELIMU KATIKA LUGHA ZETU MAMA

    Sababu kuu zinazofanya mataifa mengi ya Afrika kuwa na hofu au kukosa ari ya kubadilisha maarifa na elimu zao katika lugha za asili ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kitamaduni, kiuchumi, na kimaadili. Hapa chini ni baadhi ya sababu kuu: 1. Urithi wa Ukoloni na Lugha za Kigeni Madaraka...
  16. Crocodiletooth

    Tshekedi, huenda akaingia mkataba wa kimadini na US, katika kulinda imaya ya Kongo!

    Kuna baadhi wameanza kulia kweli kweli kwa kwikwi wakilaumu suala hili, but my opinion our Neighbor, aingie mkataba wa win win situation, ili US Ifaidike na DRC Ifaidike, badala ya kuwa mali inaibiwa tu bure bure na wahuni, =============== In his first interview since an armed group backed by...
  17. Sir John Roberts

    Vatican: Papa Francisco yupo katika Hali mahututi

    Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua. Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
  18. R

    Je, Kuna ukomo katika kutii mamlaka za WANADAMU ?

    Hellow! Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu. Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii...
  19. kavulata

    Hotuba hii ya Wamarekani itafsiriwe katika lugha zote, inatuhusu wote,

    Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo, kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
  20. Ojuolegbha

    Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati

    Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia pia masuala ya...
Back
Top Bottom