Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe, Deo Sanga, ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachukulia hatua wote wanaoeneza ujumbe wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani ya nchi, ikiwemo kuchora vibonzo vyenye taswira ya Rais kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli.
Akizungumza bungeni jijini Dodoma...