Wakuu,
Huyu Makonda ni mkuu wa mkoa au ni katibu mwenezi wa CCM?
Hivi karibuni wakati anaongea mbele ya Rais Mwinyi, Makonda alisema kuwa haoni kitu kitakachomzuia kumpigia kampeni Rais Mwinyi na Rais Samia kwenye uchaguzi unaofuata.
Pia amesema kuwa ameshaona kuna baadhi ya watu wana nia ya...
Kama anachofanya Makonda ni udhalilishaji watanzania wameridhika na huo udhalilishaji.
Kama anachofanya Makonda ni ubabe huo ubabe ndiyo watanzania wanautaka sasa.
Kama anachofanya Makonda ni misifa watanzania wanataka makonda aendelee na misifa yake.
Kama anachofanya Makonda ni uuaji (kwa...
Madudu anayoyaibua yanawaumbua watangulizi wake na hata "maRC"wa mikoa mingine. Kwa sasa anajulikana nchi nzima, lakini kuna watu hawayajui hata majina ya wakuu wa mikoa yao.
Mbali na kuwa anayoyafanya yana maslahi kwa umma, si wote, hasa watawala wenzake, watakaomfurahia.
Naamini naye ana...
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania(TALGWU), kimesema kinatambua kazi kubwa anayofanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda katika masuala mbalimbali ikiwemo kusimamia miradi ya maendeleo lakini hakijapendezwa na kitendo chake cha kumdhalilisha Mtumishi wa Umma Wilayani Longido na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.