Salam!
Kila Taasisi Lazima kuwepo na Mgawanyo wa Madaraka na Mgawanyo wa Majukumu ndani ya Taasisi Hiyo.
Yaani Lazima Kuwepo na Bosi Mwenye Mamlaka Ya Juu na Kuwepo na Wafanyakazi Wenye Mamlaka ya chini au ya kati na wenye Mishahara tofauti kabisa.
Hili Jambo ndio linafanya Taasisi zote...