Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi.
Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu.
Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana...
Serikali imetoa wito kwa watoa huduma za kifedha nchini kufuata sheria na taratibu za huduma za Fedha ikiwemo kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuhakikisha huduma hizo zinatolewa kwa ufanisi bila kuwaumiza na kuwadhalilisha wanufaika na hatimaye kukuza uchumi wa nchi.
Akizungumza...
Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu.
Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe.
Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa.
Kwa maelezo ya wanawake wengi...
Habarini
Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako...
Suala la mikopo ya chap chap yenye riba kubwa maarufu 'kausha damu' limejitokeza katika mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ambapo wananchi wa Singida Mjini wamemuomba kiongozi huyo kuwasaidia.
Leo Alhamisi Januari 25, 2024...
Wakuu,
Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka!
Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata...
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, alafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi...
Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii.
Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika.
Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
Kausha damu ni mikopo ya yenye urahisi sana upatikanaji wake. Ina vigezo na masharti nafuu sana yanayowezekana kwa wakopaji wengi.
Kwa upande moja inasaidia sana watu wenye shida na malengo ya kujiunua kiuchumi, na wanafanikiwa bila wasiwasi.
Kwa upande mwingine ni mateso, vilio na kusaga meno...
Dakika kadhaa zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu
Wamekuja wanaojiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serikali za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada
Dada akagoma kufungua, wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia...
Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo
Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu?
Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa?
Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo
Najuta sitarudia tena!
Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe.
Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public).
Sasa mikopo ya kausha damu au chupi mkononi ambayo inamtaka arudishe marejesho kila siku ile siku hana cha kurudisha...
Baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameomba uwepo wa majukwaa ya mara kwa mara yatakayolenga kutoa elimu ya utambuzi wa Taasisi sahihi za kifedha zinazotoa huduma za mikopo, ili waweze kujiepusha na Taasisi ambazo zimekuwa zikiwakopesha mikopo yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.