kawe

  1. Ramon Abbas

    TV4Sale LG 32" at kawe Dar es salaam

    Lg inch 32 Ina king'amuzi cha ndani kwa ndani (channel 7) Ina remote control Ina stand zake za chini Bei 300,000 fixed Haina tatizo but nashida nadaiwa kodi Loc. Dsm kawe 0713096076
  2. Fundi Madirisha

    Polisi KAWE mnatumika kisiasa. Kamwe hatukubaliani na mnayofanya

    TAARIFA KWA UMMA. Nimefika kituo cha Polisi Mbweni kufuatilia hatma ya dhamana ya BAWACHA na mwanahabari wetu wa Mgawe Tv ndg. Harlod Shemsanga waliokamatwa asubuhi ya leo kwasababu ya kutokuwa na kibali cha kufanya Jogging. Nimefika Mbweni Polisi saa 9:20 alasiri hii, mbele ya ofisi ya...
  3. Ngengemkenilomolomo

    #COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea" Kwa kauli hii Spika na...
  4. J

    Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

    Tukio liko mubashara ITV Rais Samia akiwa na mbunge wa Kawe wanahutubia wananchi wa jimbo la Kawe eneo la Tegeta manispaa ya Kinondoni. Kwa sasa askofu Gwajima amepanda kwenye gari ya Ikulu na anatoa salamu za shukrani kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. Gwajima anasema wananchi wa Kawe...
  5. Jidu La Mabambasi

    Askofu Gwajima keshakuwa nuksi Kawe

    Mategemeo ya wana Kawe kuwa wamepata mkombozi atakayewatetea juu ya kero za jimbo la Kawe zimeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu. Wengine wanasemma kawe tuna mkosi , katika kupata wabunge wa kututetea. Wana Kawe wengi wanajiuliza Askofu Gwajima ataingia ofisi ipi ya serikali kuipiia magoti ili...
  6. J

    Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

    Bwana Yesu apewe sifa! Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima. Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama? Mungu ni mwema wakati wote.
Back
Top Bottom