Nimekuwa nikiona watu mbalimbali sasa wanashikwa kutumia hii salam, Nikiangalia hata katika mikutano wengi hawitumii isipokuwa anapokuwepo Rais ndipo hutumia.
Hata hivyo hii salam inaendelea kupunguza umuhimu kwa sababu ya hari ya maisha.
Ukisema kazi iendelee ni kama kejeri fulani hivi kwa...
Kwanza Rais wa JMT nakupongeza kwa jitihada zako za kupigania maisha ya Watanzania.
Nimefurahishwa sana na wazo lako la filamu inayotangaza vivutio vya utalii nchini.
Ziara yako Marekani ni nyenzo kuu ya kuinua uchumi wa Tanzania katika utalii na uwekezaji.
Hakika Rais wewe ni zawadi kwa...
NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076
Nauza bajaj za kila aina!!
Bei nzuri tu
kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho.
zote ziko vijiweni zinafanya kazi
MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
Yaani ukiambiwa kuna ugonjwa unaosumbua baadhi ya watanzania hasa wanaccm ni kutamini kua nchi iko katika seasoni mpya kabisa, tena ni ugonjwa mbaya huu zaidi kuliko hata UVIKO-19.
Tuna binadamu wana roho za kinyama zisizo na huruma eti wanajifanya wao ndio wanaumia kwa sasa. Kamwe hamtaweza...
Wakati akiingia madarakani, Rais wa awamu ya 6 alitambulisha kauli mbiu yake kuwa kazi iendelee bila kusema ni kazi ipi hiyo, je ni ile iliyofanywa na awamu ya 4 na kuja kusitishwa na awamu ya 5 au ni ile iliyofanywa na awamu ya 5 iendelezwe.
Kadiri muda unavyo kwenda nimeanza kuelewa ni kazi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wote waliopo huitikia kwa nguvu kazi iendeleee. Nimekaa na kuutafakari huu msemo nimeona kama ni wa kisiasa zaidi.
Unakwepa kuwa na commitment kwenye maisha ya Watanzania milioni 60, ni kama vile ikifika wakati wa Rais kuulizwa kafanya...
Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara.
Sasa kuna maswali yafuatayo:
Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
Watoto 200, weusi wenzangu kutoka Nigeria, Walichanjwa chanjo za majaribio kwa hila, wakaahidiwa kulipwa iwapo watadhurika. 11 wakafa, wengine wakapata madhara ya kupooza na mitidio ya ubongo, kisha wakatapeliwa hata hayo malipo.
Bado Africa hatujifunzi tu, tunalazimisha watu wafanyiwe...
Salaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na watanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa...
Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako.
Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!.
Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa.
Mama Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.