Habari za muda huu hapa,
Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja.
Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm.
Maisha yamekuwa magumu sana na hakuna maendeleo yoyote nayoyaona zaidi ya kulipia Kodi,na kupata Hela ya kula...