Naitwa Jerald, nina miaka 26. Nipo Dar es salaam, natokea mkoa wa Mwanza. Natafuta kazi yoyote halali iwe ulinzi, dukani au usafi.
Nina elimu ya kidato cha sita.
Wakuu habari ya jumapili
Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani
Hali mbaya kitaa
Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970
Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo
N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
Habari wakuu!
Nina ujuzi wa maswala ya store / Warehouse. Niliwahi kuwa stock controller kwenye deport Fulani ya kuuza vinywaji Kwa zaidi ya miaka mitatu.
Nilikuwa na deal na operation za pale deport, pia mahesabu ya bidhaa zinazoingia na zinazotoka na kuangalia stock kama ipo kwenye uwiano...
Habari,
Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA.
Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Wasifu wangu;
JINSIA; Me
UMRI; 24-26
ELIMU; Bachelor of business administration
MAKAZI; Dar- kigamboni
Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection naomb msaada🙏.
Update:
Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria
Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote
Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo
i/ legal research and writing skills,
ii/...
Habari viongozi,
Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili niweze kukusanya pesa za Kuni somesha ,KAZI YOYOTE ila kikubwa iwe halali, namba 0785598033
habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...
Habiri wanaJF,
Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi.
LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua.
Natanguliza shukrani
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia
Changamoto yangu ni kama vijana wengine wa kitanzania tuliozqliwa kwenye wimbi la umaskini kukosa hata mitaji ya...
Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama..
Uzoefu nlionao driving.
Kulinda.
Kufuga.
Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu.
Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM.
Niko juu ya mawe...
Habari zenu wakuu
Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu.
Mwenye connection za saidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.