Habari wana jamii forum,
Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza .
Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa.
Nina ujuzi wa;
Diploma ya record management
Diploma ya music production
Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza.
NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
Natanguliza salamu,
Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne.
Naweza kutumia computer vizuri
Ninaujuzi wa Web design
Naweza kufanya kazi ya duka
Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
Habari ndugu zangu.
Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali.
Natanguliza shukrani
Nina shida sana hali ngumu, nahisi kukata tamaa. Yoyote anisaidie kazi yoyote. Maana sina hela na nyumbani na nahitaji kupata mahitaji yangu Kama sabuni, nguo nk.
Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia.
Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial.
Natafuta kazi kati ya hizi:-
Secretary
Stationary
Reception
Costumer care
Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
Jinsia. Mwanaume
Umri. 28
Makazi. Dar Temeke
Elimu. kidato cha nne
0694185384
Tafadhalini nipo tayari kufanya kazi ya aina yoyote tafadhali.
MKOA WOWOTE NIPO TAYARI KUFANYA KAZI IWE KAZI ZA USIKU MCHANA MIMI NIPO TAYARI.
Ninaitwa Louis M Fussi Nina umri was miaka 24, Nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management kutoka chuo kikuu SUA. Ninaomba nafasi ya kazi, kujitolea ili niweze kuepukana na vishawishi vya mtaani.
Kuachana na degree pia nina leseni ya udereva.
Namba za simu 0712730570
Habari wakuu,Naitwa Geofrey nipo morogoro mjini,NATAFUTA KAZI YOYOTE mahalo popote,ni mtaalamu na mzoefu wa mifugo na kilimo, na afya ya binadamu. Elimu yangu ni kidato Cha sita na chuo. Course animal health/daktari wa mifugo,pia c.o na masuala ya kilimo.contact:0689339355
Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili
Nipo dar-es-salaam
Nimepitia jkt
Nina ufaulu wa division I-9
Niko pia vizuri kwenye kutumia computer
Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada...
Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na Nina uzoefu wa miaka 2 kwa nafasi ya uhasibu na miaka 3 kwa nafasi ya Afisa Masoko kwenye kampuni...
Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
baada
banda
chuma
dar
dar es salaam
daressalaam
duka
fundi
godown
halali
internship
kariakoo
kazikaziyoyote
kibarua
kuuza
kuuza duka
maduka
mafundi
manual
msaada
natafuta
natafuta kazi
sugu
ujenzi
warehouse
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet.
Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
Habari mkuu! Za hukoo;
Mimi nikijana wa miaka 23, naishi Dar es salaam, elimu yangu ni form six nilikuwa naomba msaada wa kazi kwako, nikusaidie katika kazi zako.
Mungu akubariki
Habari wana Jamiiforum,
Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.
Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu
🙏🙏🙏
Habari Za MAJUKUMU wanaJF,
Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent).
Elimu yangu KIDATO CHA SITA.
Nipo Dar es Salaam.
Asanteni
Umri miaka 25 muhitimu wa diploma ya procurement nimefanya kazi miaka miwil na nusu stationery, secretary, reception pia sales naweza kufanya kazi yoyote.
Hivi sasa kutafuta ajira Tanzania ni kazi ngumu sana.
Ukweli ni kwamba kuna watu wengi zaidi wanatafuta ajira lakini wanakosa connection ya watu either hafahamiki na watu wenye potential au hata baadhi ya machimbo ya kwenda kujishikiza hayajui.
Unakuta mtu kamaliza chuo hana hata pa kuanzia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.