kazi za ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rweye

    Anahitajika msichana wa Kazi Za ndani

    Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane. Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili Kwa mawasiliano nicheki Mie 0743699591
  2. F

    Wafanyakazi wa kazi za ndani na watu wa usafi wanapatikana Chanika Mwisho

    Habari zenu wana JF, Kwa wale ambao mna shida na wafanyakazi wa kazi za ndani nimefungua ofisi. Tuna huduma ya wafanyakazi wa kazi za ndani. Wapo wanao weza kulala kwa mwajiri na wapo ambao wanaenda na kurudi. Pia kama una mgahawa wa chakula, wanaweza pia kufanya kazi hiyo. Pia tunatoa...
  3. Rozela

    Ni jukumu lako Mwanaume kutafuta msaidizi wa kazi za ndani (Dada wa kazi)

    Kwanza hakikisha unampunguzia majukumu maana hutafuti mtumwa, nunua baadhi ya mashine mf. Mashine ya kufulia, zipo za laki 6 nzuri sana, mashine ya kudekia zipo za laki 4 nanusu nzuri sana. Ukiweza unaweza tafuta na yakuoshea vyombo ila hii si lazima. Pili tafuta mdada ambaye hata wewe...
  4. Mr George Francis

    Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [Updated Thread, 2024] [Prepared and posted on Facebook by Mr George Francis In 2021 & Posted On JamiiForums in 2022, now it's reposted here in 2024.] KAZI ZA NDANDANI ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua...
  5. N

    Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  6. UMUGHAKA

    Haya matatizo ya wasaidizi wa kazi za ndani (wadada wa kazi) hayatoisha kama mabosi hawatobadilika

    Nsikuchoshe na usinchoshe,Tusichoshane! Kwa namna Hali inavyoendelea Kuwa mbaya katika jamii hasa mambo wanayoyafanya hao mabinti wanaoitwa "wadada wa kazi" nimeona na Mimi angalau nikatoa ushauri Kwa jamii hasa hao waajili "Mabosi" Ili kama kutakuwa na hatua za kuchukua zichukuliwe ili...
  7. realMamy

    Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

    Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
  8. kafuta ambele

    Je, ni kweli unastahili kuwa na mdada wa kazi?

    Wadada wa kazi wamekuwa ni kundi muhimu sana kwenye jamii lakini lazima tukubaliane kwamba kuna watu hali yao ya maisha haijafikia hatua ya kuweza kumuajiri mtu na kumlipa kama inavyostahili na kwa wakati. Lakini wamekuwa wakiajiri wadada wa kazi kama fashion tu. siku hizi mtu anawasiliana na...
  9. mambo_safi

    Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  10. BARD AI

    Zanini, mwanamke anayefanya kazi za ndani miaka 20 kwa Bosi mmoja

    Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya kikatili yanayodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa ndani, ikiwamo kuwaua au kuwapiga watoto wa mabosi zao wakati wazazi husika wakiwa hawapo nyumbani, Hali hiyo imesababisha kujenga uadui kati ya wafanyakazi wa ndani na waajiri. Hatua hiyo, imesababisha wenye...
  11. The Sheriff

    Ni Muhimu Kuhamasisha Ulinzi na Heshima kwa Wasaidizi wa Kazi za Ndani

    Wafanyakazi wa kazi za ndani wanatekeleza majukumu muhimu katika familia wanazofanyia kazi. Kazi zao za usafi, upishi, kutunza watoto, na mambo mengine ya kila siku ya nyumbani zinawawezesha waajiri kushughulikia majukumu yao ya kila siku na kuwa na muda wa kufanya kazi nyingine za kitaaluma au...
  12. amshapopo

    SoC03 Jinsi kazi za ndani zinavyotokomeza ndoto za watoto wa kike

    Imekuwa ni kawaida kwa desturi zetu za sasa, hususani maeneo ya mijini pindi familia inapohotaji msaidizi wa kazi za ndani ya nyumba, hupelekekea kupiga simu maeneo ya pembezoni mwa miji Ili kupata msaidizi wa kusaidia kazi za ndani. Wengi wetu tumekuwa tukihitaji wafanyakazi hawa bila kufuata...
  13. M2WAWA2

    Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

    Miriam Lukindo Mauki anaandika; Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili; 1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani malalamiko. Mwanamke asiye na kushukuru au asiyeona kitu anachokifanya mpenzi wake. Ni mwanamke mwenye...
  14. BARD AI

    Serikali yasema haiwatambui wanaofanya kazi za ndani Saudi Arabia

    Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini, amesema hakuna utaratibu unaowatambua Watanzania waliokwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia. Balozi Mwadini alisema hayo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanywa kwa njia ya video moja kwa moja kutoka Riyadh, Saudi...
  15. MoseKing

    Binti Mkenya, Diana Chepkemoi apitia Jehanamu Saudi Arabia, baada ya kwenda kufanya kazi za Ndani

    This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location and employer's phone but they are sitting pretty waiting for her to die. Sad!
  16. R

    Dada wa kazi za ndani na utapeli mpya mjini

    Habari wakuu, Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani. Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
  17. Boss la DP World

    Ushuhuda: Tunampenda sana msaidizi wetu wa kazi za ndani, anatulipa wema

    Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani. Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
  18. Mdau jf

    Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
  19. Mr George Francis

    Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
  20. Lanlady

    Mikataba kwa wasaidizi wa kazi za ndani, je ni vigezo gani vinavyozingatia kwa nchi husika kukubali mikataba hiyo?

    Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa. Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
Back
Top Bottom