Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria.
Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari:
Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania
KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi? Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto...
Natafuta mdada wa kazi za ndani,
Mshahara- 60,000
Sehemu-kinondoni
Dini - yeyote
Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4.
Atakayekuwa tayaru nicheck Dm
Update “nmeshapata”
Habari zenu. Naitwa Mary, Miaka 25. Elimu yangu cheti. Naishi karibu na cornerstone (kibada).
Natafuta kazi za ndani za kwenda na kurudk huku Kigamboni. Kupika, kufua, usafi, kutunza watoto naweza.
Mshahara angalau laki, nauli juu yangu. Kama ulipo nauli inazidi 400/= utanisaidia nauli.
Siku...
MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI.
Anaandika, Robert Heriel.
Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani.
Bila Shaka wote ni wazima humu.
Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani.
Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
Kuna kundi kubwa la watu wazima wanaotafuta kazi za ndani. Wengine ni kutokana na changamoto za maisha, kuachwa na mume, kufiwa, kupoteza ulivyonavyo na kubidi kuanza upya, haya yote si sababu ya kuanzisha uzi huu.
Watu wazima wengi wanajielewa, kazi umamwelekezi mara moja tu na huwa hawapendi...
Habari wanajukwaa
Tumeskia vitendo vya kuogofya vya wadada wa ndani, kuumiza hadi kuua Watoto, ushirikina n.k. Ila pia Kumekua na Habari nyingi za vitendo vya unyanyasaji vya wafanya kazi wa ndani, wengi wanapewa kazi nyingi, maslahi hafifu, kupewa mimba na ma boss wao kisha kukataliwa hizo...
Habari wanajamvi, msaada wa mawazo yenu hapa.
Nilikuwa nina wazo la bihashara ya wasichana wa kazi ( house girls) mwaka jana, lilikua niwe nawatafuta mabinti nawapa mafunzo kiasi jinsi ya kufanya kazi na kujifunza ujuzi mdogo mdogo, pia niwachambue wale bora na kuwatafutia kazi za ndani.
Lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.