kenani kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 RC Simiyu afanya matembezi ya kumuombea Rais Samia na Taifa. Chawa kazini kujihakikishia nafasi!

    Wakuu, Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele. Ni mwendo wa kujiweka karibu na Rais na kusikika kadri iwezekanavyo ili usisahaulike kwenye ufalme wa bwana, teh teh ufalme wa mama😂😂...
  2. LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  3. Said Mtanda amepwaya Mwanza, impendeze Rais atuletee Kenani Kihongosi ambaye sasa yuko Simiyu

    Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha. Mkoa una...
  4. Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya...
  5. Uchambuzi wa Hotuba ya Kenani Kihongosi Chuo Kikuu Mzumbe (Morogoro)

    Anaandika Almalik Mokiwa Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM) Waliohudhuria walikuwepo wanachama wa CCM na wasio wanachama. Nilikuwepo kujifunza nikiwa kama muumini wa "Nyutro gang"...
  6. Bila Bashiru na Polepole, Kenani Kihongosi asingekuwa hapo alipo

    Ama kweli mkuki uusafishao kila siku ndiwo wenye kuweza kukujeruhi hapo siku za mbele. Kenani Kihongosi ni jina lililopendekezwa na Polepole kwa Bashiru ili lipelekwe Ikulu kwa Mamlaka za juu ili pamoja na yote aweze kuwa miongoni wa Wakuu wapya wa Wilaya kupitia nafasi za upendeleo kwa UVCCM...
  7. UVCCM mngemlaumu zaidi adui yetu huyu badala ya Dkt. Bashiru Ali, ningewaona mna akili timamu

    UVCCM hebu niambieni GENTAMYCINE hivi kweli Dk. Bashiru Ali ni Adui yenu Kumzidi Adui Mkuu huyu wa Watanzania wote aliyeko CCM? 1. Fisadi na Mficha Hela za Misaada 2. Mlevi wa Wine na Muhuni 3. Mdini kupita Maelezo 4. Mbinafsi wa kupenda 5. Mlipiza Kisasi kwa Aliyemtangulia 6. Mpumbavu...
  8. Simpendi Dkt. Bashiru, lakini kwa hili namuunga mkono

    Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria. Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko. Kwa hili alilo...
  9. UVCCM wamvaa Dkt. Bashiru mzimamzima - "Aache unafiki, aombe radhi, hatutamuangalia usoni

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Dkt. Bashiru aombe radhi kutokana na kauli yake aliyotoa wakati wa mkutano mkuu wa Mviwata, Kenani amekiomba chama kumchukulia hatua Dkt Bashiru kutokana na kauli zake za ukosoaji kwa viongozi, hawapaswi kupongezwa. Global...
  10. Kuelewa kunavyokuza kueleweka kwa Kenani Kihongosi

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi. Na Kevin Lameck Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo. Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili na ambao unahusishwa na mwanahistoria Plutarch na mwanafalsafa Zeno wa Citium. Ujumbe wa Papa...
  11. J

    Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi kusikiliza changamoto za vijana tarehe 8 Septemba, 2022

    UVCCM_ TAIFA KESHO SEPT. 08, 2022 UPANGA, DAR ES SALAAM Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana. VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA #AlipoMamaVijanaTupo...
  12. Matokeo ya Sensa na Vifo Vinavyozuilika Kwenye Jamii

    Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
  13. AUGUST ni Mwezi wa SENSA! Mwezi wa kutambulika

    Baadae mwezi huu,Jumanne ya August 23 kutafanyika tukio kubwa, la kihistoria na lililobeba mustakabali wa maendeleo yetu. Baada ya miaka 10 kupita,Sensa ya watu na makazi ya mwaka huu itakuwa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sensa nyingine kulingana na...
  14. S

    Geita: Kenani Kihongosi ahamasisha Vijana kujitokeza katika Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

    UVCCM TAIFA 16.07.2022 HISTORIA IMEANDIKWA WILAYA YA GEITA YASIMAMA Katibu Mkuu wa UVCCM TAIFA Ndugu Kenani Kihongosi akiwa Wilaya ya Geita(Katoro) Mkoa wa Geita Kuhamasisha Vijana Katika Zoezi la Sensa ya Watu na makazi amesisitiza vijana kujitokeza Tarehe23.8.2022. Pia amempongeza Rais wa...
  15. Usinipunje, Nisikupunje, Tusipunjane- Kenani Kihongosi

    Leo Katibu Mkuu wa Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Kenani Kihongosi alikuwa Mkoani Geita kwenye muendelezo wa kampeni ya Sensa na Vijana. Kampeni hiyo ilifunguliwa Mjini Dar es salaam kwa kauli ya kufanyika nchi nzima na sasa imetia nanga kwenye mikoa ya Kanda ya ziwa. Maudhui na...
  16. Kenani Kihongosi na ripoti ya TWAWEZA ya mwaka 2017

    Neno ushiriki wa kisiasa kwa ujumla katika maana ni tabia yoyote ya kibinadamu au ushiriki ambao unachangia au unashawishi mchakato wowote wa kisiasa au matokeo. Ushiriki wa kisiasa unaweza kuwa wa mtu binafsi kujihusisha moja kwa moja kwenye siasa kama mwanachama wa chama au mgombea wa chama...
  17. Kenani Kihongosi awasihi vijana kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    KENANI KIHONGOSI AWASIHI VIJANA KUMUUNA MKONO MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN UVCCM HQ JULAI 03, 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amewataka Vijana kumuunga mkono Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo alipokua anahutubia katika Mahafali ya UVCCM Seneti ya...
  18. Siku 365 za Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi

    SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI. Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia...
  19. Kenani Kihongosi afungua kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani vijana kwa ajili ya kujiandaa na ushiriki wa Sensa

    KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
  20. T

    Wito: Mamlaka ya Nidhamu ya Kenani Kihongosi ipeni hadhi UVCCM juu ya suala lake la ufisadi, ni doa sugu.

    Kwa Sasa Kenani Kihongosi ndio kiongozi wa juu wa UVCCM kulingana na sera ya CCM ya mtu mmoja cheo kimoja kwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti kwa Sasa ni DC na Makamu Mwenyekiti ni waziri wa SMZ hivyo kwa nafasi yake ni Kama anahudumu kwa nafasi zote za juu za UVCCM hivyo suala la kinidhamu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…