Na Bwanku M Bwanku.
Kama tunavyofahamu, Ijumaa hii Aprili Mosi 2022, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya Mkutano Mkuu wake Maalum pale Jijini Dodoma kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre ambao pamoja na mambo mengine utafanya marekebisho ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la...
KUELEKEA UCHAGUZI KATIBU MKUU UVCCM, NDG KENANI KIHONGOSI
ASEMA NA VIJANA.*
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendele
=======
"Huu ni mwaka wa uchaguzi. Vijana jitokezeni kugombea nafasimbalimbalikatika chama na jumuiya zake. Jipime, ukiona unatosha naenda ukachukue fomu"...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu...
===
Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa,
Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM-Tanzania kuwa matajiri wakubwa...
Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5.
Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais.
Una maoni gani kwa wana CCM hao...
ALIYOYAZUNGUMZA KATIBU MKUU WA UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AKIONGEA NA WANAHABARI AGOSTI 03, 2021.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kenani Kihongosi alianza kwa kumshukuru Mwenyezimungu na kutoa salamu za pole kwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua VIJANA JOGGING CLUB.
VIJANA JOGGING CLUB.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi unapenda kuwaalika Vijana wote wa Tanzania katika Uzinduzi wa “Vijana Jogging Club” utakaofanyika tarehe 31 Julai 2021 kuanzia Nyerere...
Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19.
Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
PEMBA ZANZIBAR
Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi
Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.
Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
MBEYA VIJIJINI - MBEYA SIKU YA PILI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi akizungumza katika Kikao Wilaya ya Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya ambapo alizungumza na wanachama katika Shina namba 1, pamoja na kuzindua shina la wakereketwa pia kukagua mradi...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.