GE2025 Kihongosi: Tuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama, kama kuna matishio tuwasilishe kwenye vyombo husika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama.

Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini Dodoma, Kihongosi amesema mgombea wa urais kupitia CCM ameendelea kuthamini kampeni za kistaarabu tangu zilipozinduliwa, akisisitiza utu, amani, mshikamano na upendo miongoni mwa Watanzania.

“Watanzania tuna wajibu wa kulinda umoja tulionao, tuna wajibu wa kushirikiana na serikali kuhakikisha kila mmoja anakuwa mlinzi wa amani ndani ya Taifa letu. Endapo tunahisi kuna changamoto au matishio, tuyawasilishe katika vyombo vinavyohusika ili kulinda mshikamano tulionao,” amesema Kihongosi.

Ameongeza kuwa Chama Cha Mapinduzi kinaamini binadamu wote ni sawa, kinaamini katika utu na kazi, na kwamba palipo na amani ndipo kunapoweza kupatikana maendeleo ya kweli.

Kenani ameyasema hayo leo Oktoba 05, 2025 Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

​
 
Mmechelewa sana, nani atapeleka tip ya kiusalama kwa hao wahuni wanaoteka na kupoteza watu?

Kama hamjasoma upepo piteni mitandaoni muone Cpt anavyoungwa mkono sasa akitokea adui mtachomoka ?

Mnataka umoja na upendo ilhali watu wanauwawa mnawajibu kifo ni kifo.?
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama.

Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini Dodoma, Kihongosi amesema mgombea wa urais kupitia CCM ameendelea kuthamini kampeni za kistaarabu tangu zilipozinduliwa, akisisitiza utu, amani, mshikamano na upendo miongoni mwa Watanzania.

“Watanzania tuna wajibu wa kulinda umoja tulionao, tuna wajibu wa kushirikiana na serikali kuhakikisha kila mmoja anakuwa mlinzi wa amani ndani ya Taifa letu. Endapo tunahisi kuna changamoto au matishio, tuyawasilishe katika vyombo vinavyohusika ili kulinda mshikamano tulionao,” amesema Kihongosi.

Ameongeza kuwa Chama Cha Mapinduzi kinaamini binadamu wote ni sawa, kinaamini katika utu na kazi, na kwamba palipo na amani ndipo kunapoweza kupatikana maendeleo ya kweli.

Kenani ameyasema hayo leo Oktoba 05, 2025 Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Pumbavu kabisa kusema nywi nywi nywi ndiyo ustaarabu? Samia must go.
 
Kulinda umoja na amani wakati mwenyekiti wa chadema mmemuweka ndani, Chama chao mmekifungia kizumati, viongozi wao hamtaki hata waongee na mtu yeyote. Muongee nyinyi tu.

Nyinyi ndo mnaokwenda kuharibu umoja wa hii nchi na amani kwasababu haki zote za wananchi mmeshazipora. Mnataka watu wawe kama mazombi nyinyi muendelee kuneemeka na familia zenu
 
Huyu kwa hayo aliyotamka anadhihirisha siyo mzima:

eti watanzania wote ni sawa!! Yaani mtekaji na mtekwaji ni sawa? Anayebambikia watu kesi na anayebambikiwa, wote wapo sawa?
 
Hivyo vyombo si ndio vina teka watu na kuwapoteza, sasa tuwasilishe kwa nani tena?

Huo muda uliishapita, sasa tuendelee kuwinda mi ccm na familia zao.
 
Kihongosi ana elimu gani?
Nchi kuna watu hawajui kama watu wanatekwa kama mbuzi kila uchao au ni kujiondoa ufahamu?
 
Wapuuzi kabisa nyie mnaweza kutuambia soka Yuko wapi mdude Yuko wapi Leo baada ya wanaume kukohoa ndio mnajidai mnayajua matishio mbwa nyie kabisa.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama.

Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini Dodoma, Kihongosi amesema mgombea wa urais kupitia CCM ameendelea kuthamini kampeni za kistaarabu tangu zilipozinduliwa, akisisitiza utu, amani, mshikamano na upendo miongoni mwa Watanzania.

“Watanzania tuna wajibu wa kulinda umoja tulionao, tuna wajibu wa kushirikiana na serikali kuhakikisha kila mmoja anakuwa mlinzi wa amani ndani ya Taifa letu. Endapo tunahisi kuna changamoto au matishio, tuyawasilishe katika vyombo vinavyohusika ili kulinda mshikamano tulionao,” amesema Kihongosi.

Ameongeza kuwa Chama Cha Mapinduzi kinaamini binadamu wote ni sawa, kinaamini katika utu na kazi, na kwamba palipo na amani ndipo kunapoweza kupatikana maendeleo ya kweli.

Kenani ameyasema hayo leo Oktoba 05, 2025 Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Vijana wetu wamegeuka michawa kwa sababu ya uzwazwa. Ni kama hatuna taifa la watu tena bali chawa.
 
Mazafaka! Mtu anayethamini utu anawezaje kuteka na kudhuru watu wanaomkosoa?
 
Back
Top Bottom