Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kenani Kihongosi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, amesema kuwa mara nyingi amani inapopotea, watu wanaopata tabu ni watu wenye mahitaji maalumu, wazee, watoto, akina mama na watu wasio jiweza.
Kihongosi amesema hayo wakati akifunga mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi uliyofanyika Bukoba mjini, mkoani Kagera. Amesema kuwa kila mtu anao wajibu wa kulinda amani ya taifa la Tanzania.
"Amana ni jambo la thamani kubwa, na mara nyingi inapopotea, watu wanaopata tabu ni watu wenye mahitaji maalumu, wazee, watoto, akina mama na watu wasio jiweza. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani ya taifa letu. Tuwe na umoja na mshikamano ili kulinda amani yetu," amesema Kihongosi.
Aidha Kihongosi amesema kuwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeweka mazingira mazuri ya amani na utulivu, na wananchi wanatakiwa kuyalinda hayo.