kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. T

    Aibu sana kwa taifa langu Olympic 2024. Kenya ilipekeka wanamichezo 72, Uganda 24 sisi walienda 7 na delegation ya watu karibu 20 + waziri

    Kama kuna kitu kinaudhi nchi hii ni namna mambo yanavyofanyka kiajabuajabu ukiachikia mbali yale mataifa yanayotuzidi sana kiuchumi hata hawq jirani zetu unagundua wako serious sana na mambo yao. Wenzetu wamepekeka wanamichezo wengi sana ambao ndo wahusika hasa lakini sisi tunepeleka watu ambao...
  2. Kenya wanatuwakilisha vizuri sana Africa Mashariki kwenye Olympics.

    Mpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani zao kwani sote ni wamoja, mafanikio yao ni mafanikio yetu pia.
  3. Kuna manufaa makubwa, tukiiga mfumo wa uteuzi wa mawaziri unaofanyika nchini Kenya

    Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe. Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
  4. A

    Vetting ya Mawaziri Kenya ni viroja!

    1. Wenzetu pamoja na Katiba 'nzuri' bado wanafanya mzaha kwenye vetting ya Viongozi wao. 2. Hivi punde Mawaziri wateule 20 wamepitishwa na Bunge tayari kula kiapo na kuanza 'kuiba' upya pamoja na kutokufanya vizuri kwenye mahojiano. Yaani kinachoitwa mahojiano ni kama "formalities" tu...
  5. Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

    Wakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini! Wasomali wanasema wamefanya au kufuata ukristo kwa miaka kumi kisiri siri wakiwa somalia. Huu mkasa unafanana na iran Je kama...
  6. The difference between Kenya and Tanzania

    I have only been to Kenya for about a week and Tanzania for 2 years. After being in Tanzania for a while and I crossed over to Kenya and into Nairobi I was amazed at how much more developed it was than Tanzania. The buildings were actual buildings and not shacks with aluminum roofing. The...
  7. Siasa inalipa!! Angalia unaodaiwa kuwa utajiri wa Baraza la Mawaziri Kenya!

    Ushawahi kujiuliza wanasiasa mfano mawaziri wana utajiri kiasi gani? Je unajiuliza kwanini matajiri wakubwa duniani wanaingia kwenye siasa? Siyo nchi za kiafrika tu, hata Ulaya?Fuatana nami nikupe uhondo! Hivi majuzi Rais wa Kenya William Ruto aliteua majina ya mawaziri wateule, hii ni baada ya...
  8. Kenya yaruhusu Dawa za Kuzuia VVU kuanza kutolewa kwenye Maduka ya Dawa

    Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia. Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
  9. L

    Kumbe asilimia kubwa ya watu duniani tabia zao ni sawa

    Wakenya wameanzisha tabia yakusema Diamond nimsanii wetu basi Warwanda, Uganda, Burundi na nchi kibao wanashindana kusema Diamond nimsanii wetu replay zaidi ya elfu 12 ni Diamond is our artist from Kenya🤣mwingine uganda nikaona mwingine wabrazil nikasema duu kweli ubaya ubwela. sema Wakenya...
  10. Ruto amewaondoa Wabantu wote katika Serikali yake na kuwapatia vyeo wasomali. Lengo ni kuwaua Kisiasa milele nchini Kenya!

    Kwa wanaofuatilia Siasa za Kanda ya Ziwa mtakua pamoja namm kuiona pattern inayojichora ya Paul kagame,Mseveni na Ruto Hatimaye Ruto kaingia kwene 18 za hawa jamaa saizi nayeye kaanza kupambana na wabantu. Anahakikisha kenya haitakuja kutawaliwa na wabantu milele kwa kuwaweka mawazili wenye...
  11. Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  12. Nimekunywa Panadol za Kenya, ninajisikia kuandamana

    Kwa hali ninayo yaona Tanzania!!
  13. W

    Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

    Huyo jamaa pembeni sijui ni mwanasheria au la, anamzuia zuia jamaa kuyamwaga, jamaa hamsikilizi kabisa anamwagika tu. This Spirit! Imebidi maaskari polisi wafanye kazi yao kumnyamazisha kwa kumtoa kizimbani ili kutetea watawala wanaosemwa Tuje Huku kwetu sasaaa, kulia yupo Magoma, Kushoto ni...
  14. Waziri mpenda maisha ya ufahari Kenya aomba msamaha kwa mtindo wake wa maisha ya anasa

    Mmojawapo wa mawaziri wa Kenya aitwaye Kipchumba Murkomen ameomba msamaha kutokana na mtindo wake wa maisha ya ufahari aliokuwa akiishi ambao ulikuwa ukiwakwaza Wakenya wengi. Baada tu ya kupata uwaziri huyu bwana alikuwa akivaa nguo, viatu na saa za anasa ambavyo ni designer brands kutoka nchi...
  15. Watalii wamiminika Tanzania badala ya Kenya, ni baada ya Maasai Mara kupandisha kiingilio karibu mara tatu

    Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti. Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo...
  16. W

    Wakenya Waandamana IMF kupinga Serikali ya Kenya isipewe Mikopo

    Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka serikali ya Kenya kutokupewa mikopo na Shirika hilo kwani inatumika kizembe Wakenya wamelaumu Shirika hilo...
  17. Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  18. Pre GE2025 CHADEMA kama mnaona Gen-Z wanatija kwenu basi hamieni Kenya, tumewachoka na siasa zenu zenye vimelea vya vurugu

    Naomba niwaase viongozi na wafuasi wa chadema wote kwamba; sisi nchi yetu ya Tanzania ni nchi ya aman umoja na mshikamano kamwe sisi Kama raia wakawaida hatutaruhusu vurugu ya aina yoyote ile nchini mwetu Kama mnavutiwa na hao Gen z nendeni Kenya na kamwe msithubutu hapa nchini kwetu. Uongozi...
  19. D

    Kitu gani kinafanyika Kenya hakifanyiki Tanzania?

    Wanabodi naomba tujiulize na kujadili bila ushabiki wa kivyama. Hivi ni nini hasa kinachofanyika Kenya ambacho hakifanyiki Tanzania kiasi cha kuwafanya vijana wetu kuona tuko sawa wala hatuhitaji kufa kwa ajili ya kesho yetu? Vijana Kenya wanalalamikia Uhuni katika Tume ya Uchaguzi, IEBC. Sisi...
  20. D

    Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…