Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru.
Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
Takwimu nchini Kenya zinaonesha nchi hiyo inashika nafasi ya saba kwenye orodha ya mataifa yenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI duniani, huku Rwanda na Tanzania zikitajwa kufanikia kudhibiti maambukizo.
Hapa tukiwa kama nchi za JAM lazima tuweke mikakati ya pamoja katika...
Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi
Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika Mchezo wa Kikapu kitaunga mkono mipango yote ya biashara na maendeleo ya mpira wa Kikapu ya Ligi ya...
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa vyombo vya habari na wageni
Pia alieleza kuwa wasio wabunge ni lazima wakati wote wavae vitambulisho...
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
====
Pauline...
Nimeona taarifa kutoka mitandaoni zikieleza kwamba walioshirikiana na Mbunge wa Babati kwemwekea kijana wa Kitanzania chupa Makalioni wamekimbia na kwenda kujificha nje ya nchi kwa maelekezo ya Naibu waziri.
Lengo la watuhumiwa kutoroka nikukwepa kuhojiwa kwa madai kwamba kesi inayofuatiliwa...
Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa kesi.
Uamuzi wa wabunge hao ulikuja siku ya Alhamisi, mara tu mahakama ilipokuwa ikisikiliza ombi...
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu Mahakama Kuu isitishe tangazo la kupandisha gharama za huduma hizo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara...
Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo.
Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na...
Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho.
Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22
Ni hujuma kwa Ruto
Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
Story hii ni ya ukweli takribani miaka 7 sasa imetimia tangu tukio hilo litokee.
Kiufupi ilikuwa hivi.
Mama mzazi wa Binti ambaye alikua ni mjane kutokana na Hali duni ya maisha baada ya miaka mingi kufiwa na mume wake aliendelea kuishi kwa shida huku akipambana kutafuta chakula na kusomesha...
Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says
Kenya's Treasury says the country is facing serious cash flow challenges due to the maturing debts that have delayed the disbursement of funds to various development projects.
Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u told the Finance and...
Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya wataalamu kutoka nchi hizo kuweka mikakati ya pamoja kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, leo Novemba 7, 2023 Mjini Mombasa nchini Kenya
Kwa upande wa Tanzania kikao hicho kimehudhuriwa na...
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti.
Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.