Wakuu habari za Jumatatu.
Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'.
Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya.
Kwa mfano, mtaji wa...