kenyatta

  1. JanguKamaJangu

    Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Peter Mbogo Njiru Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani. Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo...
  2. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Gachagau: Kenyatta alini-blackmail nisimuunge Mkono Ruto

    Mgombea mweza wa Urais nchini Kenya, kupitia Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais Uhuru Kenyatta kumtuma Mshauri wake kumwonya iwapo angeendelea kumuunga mkono Rutto lingempata jambo Madai hayo yanakuja baada Mgombea huyo kudai kuwa kukamatwa na kufungiwa kwa akaunti zake za benki kwa...
  3. JanguKamaJangu

    KENYATTA: Nilikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais ili kuepusha umwagikaji wa damu 2017

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema alikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais baada ya Mahakama Kuu kuufuta ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017, angefanya hivyo ili kuzuia umwagikaji wa damu lakini Naibu wake, William Ruto alimshawishi kutofanya hivyo. Mahakama iliagiza kurudiwa...
  4. Lady Whistledown

    Kenya 2022 William Rutto: Nilimfanya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya

    Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta hakutaka kurudia na alimlazimisha kurudia uchaguzi huo kwani asingemruhusu kuacha kazi aliyoifanya kwa...
  5. JanguKamaJangu

    Kenya 2022 Uhuru Kenyatta amwambia Ruto hafanyi kazi amekalia mdomo tu

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba nafasi ya Urais Kenyatta akizungumza katika Sherehe za Ushirika amesema: “Mimi nasikitika kuona...
  6. JanguKamaJangu

    Jaji Mkuu Kenya ataka Kenyatta aondolewe madarakani kwa kukiuka Katiba

    Martha Koome ambaye ni Jaji Mkuu Nchini Kenya anataka Mahakama ya Rufaa ya Kenya kuangiza Rais Uhuru Kenyatta kuondolewa madarakani kwa kukiuka Katiba baada ya kukataa kuwateua majaji sita miongoni mwa 40 walioidhinishwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) miaka mitatu iliyopita Pamoja na...
  7. JanguKamaJangu

    Rais Kenyatta avunja kanuni, amnyima Naibu wake fursa ya kuhutubia Taifa

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amekataa kumpa fursa Naibu wake kuhutubia taifa katika maadhimisho ya Siku ya Madaraka, Juni Mosi, 2022 Hii ni mara ya kwanza Ruto amekosa kupewa fursa ya kuhutubia taifa tangu Kenyatta alipoingia madarakani mwaka 2013. Hatua ya Kenyatta imetafsiriwa na raia wa...
  8. sky soldier

    Wakenya naomba mnijuze, Rais Uhuru Kenyatta na mpambe wake ni ndugu?

    Nimekuwa nikiona matukio kadhaa mpambe wa Rais akiwa na mazoea sana na Rais wa Kenya, ni kama vile imevuka mipaka. Je, huyo mpambe wake ni ndugu?
  9. BigTall

    Kenya 2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  10. Chachu Ombara

    Kenya 2022 William Ruto amuomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta

    Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika. "Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda sikufikia matarajio ya bosi wangu Rais Kenyatta, na ninaomba unisamehe," Ruto. Ruto ameomba msahama...
  11. luangalila

    Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu...
  12. JanguKamaJangu

    Rais Kenyatta apandisha mshahara wa watumishi kwa 12% kuanzia Mei 2022

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 12 kuanzia Mei 2022. Rais Kenyatta ametoa tamko hilo katika hotuba yake Siku ya Mei Mosi kwenye Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi, ambapo lengo la maamuzi hayo ni kutokana na kukua kwa gharama za maisha Kiwango cha chini...
  13. K

    Ni kwa nini Uhuru Kenyatta na Paulo Kagame hawajamuiga Samia Suluhu ?

    nimemsoma member mmoja humu JF akisema movie ya mama Samia ya royal tour inaweza kuingiza mpaka 1.5 trillion kwa kukodishwa pekee kwenye mtandao wa amazon na bado kuna faida nyingine kama ongezeko la watalii nk sasa kama movie iliyogharimu billion 7 inaweza kuingiza pesa mingi kiasi huko kwa...
  14. B

    Rais Uhuru atoa neno baada ya bodaboda kumbaka Bibi Mzungu

    Baada ya boda boda mmoja domo zege huko Kenya kufanya yake, rais Kenyatta amelazimika kutoa somo: "Kama uko na haja na mtoto omba pole pole." Amesikika Kenyatta. Kwa hakika rais huyu hajawahi kuishiwa masomo kwa hadhira zake. Ikumbukwe Dodoma hakutuacha bila bila na mambo ya azana. ========...
  15. JanguKamaJangu

    Kenyatta: Ruto alitaka kunihujumu, kunishtaki ili achukue madaraka

    Rais wa Kenya amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kile ambacho anadai kilipangwa kufanya na Makamu wake wa Rai, William Ruto, kusimamia mipango ya kumfanyia hujuma na kushitaki. Kenyatta, ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi wa Kikuyu ambao walimtembelea Ikulu Jijini Nairobi...
  16. Mutaitina

    The Kenyatta education declaration

  17. Tony254

    President Kenyatta is expected to launch a ship yard in Mombasa.

    Eneo la kujengea meli linatarajiwa kuzinduliwa na rais Kenyatta huko Mombasa.
  18. I

    Rais Uhuru Kenyatta amepunguza bei ya umeme, Tanzania vipi?

    Katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama za uendeshaji na uzalishaji. Kenyatta amepunguza bei hizo kwa 30% kwa awamu mbili, awamu ya kwanza...
  19. MK254

    Marais Samia na Kenyatta watia saini mikataba saba mpya ya kuendelea kushirikiana

    Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu. Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea kufunguliwa, ushindwe mwenyewe. Kama una matikiti yako Mpanda hapo Tannzania, soko liko wazi Kenya yote...
  20. beth

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
Back
Top Bottom