kenyatta

Jomo Kenyatta (c. 1897 – 22 August 1978) was a Kenyan anti-colonial activist and politician who governed Kenya as its Prime Minister from 1963 to 1964 and then as its first President from 1964 to his death in 1978. He was the country's first indigenous head of government and played a significant role in the transformation of Kenya from a colony of the British Empire into an independent republic. Ideologically an African nationalist and conservative, he led the Kenya African National Union (KANU) party from 1961 until his death.
Kenyatta was born to Kikuyu farmers in Kiambu, British East Africa. Educated at a mission school, he worked in various jobs before becoming politically engaged through the Kikuyu Central Association. In 1929, he travelled to London to lobby for Kikuyu land affairs. During the 1930s, he studied at Moscow's Communist University of the Toilers of the East, University College London, and the London School of Economics. In 1938, he published an anthropological study of Kikuyu life before working as a farm labourer in Sussex during the Second World War. Influenced by his friend George Padmore, he embraced anti-colonialist and Pan-African ideas, co-organising the 1945 Pan-African Congress in Manchester. He returned to Kenya in 1946 and became a school principal. In 1947, he was elected President of the Kenya African Union, through which he lobbied for independence from British colonial rule, attracting widespread indigenous support but animosity from white settlers. In 1952, he was among the Kapenguria Six arrested and charged with masterminding the anti-colonial Mau Mau Uprising. Although protesting his innocence—a view shared by later historians—he was convicted. He remained imprisoned at Lokitaung until 1959 and was then exiled to Lodwar until 1961.
On his release, Kenyatta became President of KANU and led the party to victory in the 1963 general election. As Prime Minister, he oversaw the transition of the Kenya Colony into an independent republic, of which he became president in 1964. Desiring a one-party state, he transferred regional powers to his central government, suppressed political dissent, and prohibited KANU's only rival—Oginga Odinga's leftist Kenya People's Union—from competing in elections. He promoted reconciliation between the country's indigenous ethnic groups and its European minority, although his relations with the Kenyan Indians were strained and Kenya's army clashed with Somali separatists in the North Eastern Province during the Shifta War. His government pursued capitalist economic policies and the "Africanisation" of the economy, prohibiting non-citizens from controlling key industries. Education and healthcare were expanded, while UK-funded land redistribution favoured KANU loyalists and exacerbated ethnic tensions. Under Kenyatta, Kenya joined the Organisation of African Unity and the Commonwealth of Nations, espousing a pro-Western and anti-communist foreign policy amid the Cold War. Kenyatta died in office and was succeeded by Daniel arap Moi.
Kenyatta was a controversial figure. Prior to Kenyan independence, many of its white settlers regarded him as an agitator and malcontent, although across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist. During his presidency, he was given the honorary title of Mzee and lauded as the Father of the Nation, securing support from both the black majority and the white minority with his message of reconciliation. Conversely, his rule was criticised as dictatorial, authoritarian, and neo-colonial, of favouring Kikuyu over other ethnic groups, and of facilitating the growth of widespread corruption.

View More On Wikipedia.org
  1. Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Peter Mbogo Njiru Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani. Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo...
  2. Kenya 2022 Gachagau: Kenyatta alini-blackmail nisimuunge Mkono Ruto

    Mgombea mweza wa Urais nchini Kenya, kupitia Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais Uhuru Kenyatta kumtuma Mshauri wake kumwonya iwapo angeendelea kumuunga mkono Rutto lingempata jambo Madai hayo yanakuja baada Mgombea huyo kudai kuwa kukamatwa na kufungiwa kwa akaunti zake za benki kwa...
  3. KENYATTA: Nilikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais ili kuepusha umwagikaji wa damu 2017

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema alikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais baada ya Mahakama Kuu kuufuta ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017, angefanya hivyo ili kuzuia umwagikaji wa damu lakini Naibu wake, William Ruto alimshawishi kutofanya hivyo. Mahakama iliagiza kurudiwa...
  4. Kenya 2022 William Rutto: Nilimfanya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya

    Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta hakutaka kurudia na alimlazimisha kurudia uchaguzi huo kwani asingemruhusu kuacha kazi aliyoifanya kwa...
  5. Kenya 2022 Uhuru Kenyatta amwambia Ruto hafanyi kazi amekalia mdomo tu

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba nafasi ya Urais Kenyatta akizungumza katika Sherehe za Ushirika amesema: “Mimi nasikitika kuona...
  6. Jaji Mkuu Kenya ataka Kenyatta aondolewe madarakani kwa kukiuka Katiba

    Martha Koome ambaye ni Jaji Mkuu Nchini Kenya anataka Mahakama ya Rufaa ya Kenya kuangiza Rais Uhuru Kenyatta kuondolewa madarakani kwa kukiuka Katiba baada ya kukataa kuwateua majaji sita miongoni mwa 40 walioidhinishwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) miaka mitatu iliyopita Pamoja na...
  7. Rais Kenyatta avunja kanuni, amnyima Naibu wake fursa ya kuhutubia Taifa

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amekataa kumpa fursa Naibu wake kuhutubia taifa katika maadhimisho ya Siku ya Madaraka, Juni Mosi, 2022 Hii ni mara ya kwanza Ruto amekosa kupewa fursa ya kuhutubia taifa tangu Kenyatta alipoingia madarakani mwaka 2013. Hatua ya Kenyatta imetafsiriwa na raia wa...
  8. Wakenya naomba mnijuze, Rais Uhuru Kenyatta na mpambe wake ni ndugu?

    Nimekuwa nikiona matukio kadhaa mpambe wa Rais akiwa na mazoea sana na Rais wa Kenya, ni kama vile imevuka mipaka. Je, huyo mpambe wake ni ndugu?
  9. Kenya 2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  10. Kenya 2022 William Ruto amuomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta

    Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika. "Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda sikufikia matarajio ya bosi wangu Rais Kenyatta, na ninaomba unisamehe," Ruto. Ruto ameomba msahama...
  11. Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu...
  12. Rais Kenyatta apandisha mshahara wa watumishi kwa 12% kuanzia Mei 2022

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 12 kuanzia Mei 2022. Rais Kenyatta ametoa tamko hilo katika hotuba yake Siku ya Mei Mosi kwenye Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi, ambapo lengo la maamuzi hayo ni kutokana na kukua kwa gharama za maisha Kiwango cha chini...
  13. K

    Ni kwa nini Uhuru Kenyatta na Paulo Kagame hawajamuiga Samia Suluhu ?

    nimemsoma member mmoja humu JF akisema movie ya mama Samia ya royal tour inaweza kuingiza mpaka 1.5 trillion kwa kukodishwa pekee kwenye mtandao wa amazon na bado kuna faida nyingine kama ongezeko la watalii nk sasa kama movie iliyogharimu billion 7 inaweza kuingiza pesa mingi kiasi huko kwa...
  14. B

    Rais Uhuru atoa neno baada ya bodaboda kumbaka Bibi Mzungu

    Baada ya boda boda mmoja domo zege huko Kenya kufanya yake, rais Kenyatta amelazimika kutoa somo: "Kama uko na haja na mtoto omba pole pole." Amesikika Kenyatta. Kwa hakika rais huyu hajawahi kuishiwa masomo kwa hadhira zake. Ikumbukwe Dodoma hakutuacha bila bila na mambo ya azana. ========...
  15. Kenyatta: Ruto alitaka kunihujumu, kunishtaki ili achukue madaraka

    Rais wa Kenya amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kile ambacho anadai kilipangwa kufanya na Makamu wake wa Rai, William Ruto, kusimamia mipango ya kumfanyia hujuma na kushitaki. Kenyatta, ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi wa Kikuyu ambao walimtembelea Ikulu Jijini Nairobi...
  16. The Kenyatta education declaration

  17. President Kenyatta is expected to launch a ship yard in Mombasa.

    Eneo la kujengea meli linatarajiwa kuzinduliwa na rais Kenyatta huko Mombasa.
  18. I

    Rais Uhuru Kenyatta amepunguza bei ya umeme, Tanzania vipi?

    Katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama za uendeshaji na uzalishaji. Kenyatta amepunguza bei hizo kwa 30% kwa awamu mbili, awamu ya kwanza...
  19. Marais Samia na Kenyatta watia saini mikataba saba mpya ya kuendelea kushirikiana

    Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu. Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea kufunguliwa, ushindwe mwenyewe. Kama una matikiti yako Mpanda hapo Tannzania, soko liko wazi Kenya yote...
  20. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…