Hii hospitali ya Mnazi Mmoja ina umuhimu mkubwa sana jijini hasa kwa wananchi wa chini. Jamani uongozi mjitathmini.
Watumishi wengi mno ni kama mko pale kupoteza muda.
1. Huduma ya madaktari ni ya ovyo mno sometimes mnavuruga utaratibu mgonjwa amepanga foleni , pamoja na kujizungusha...