Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo akishirikiana na mtumishi mwenzie.
Viongozi hao wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga kuwa nauguliwa na baba yangu Mkoani Tanga, wakati narudi nakuta meza yangu anafanyia biashara mtu...