KERO Uongozi wa Soko la Mabibo (Dar) umeuza meza yangu nilipoenda kumuuguza baba yangu, nimeumia sana

KERO Uongozi wa Soko la Mabibo (Dar) umeuza meza yangu nilipoenda kumuuguza baba yangu, nimeumia sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo akishirikiana na mtumishi mwenzie.

Viongozi hao wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga kuwa nauguliwa na baba yangu Mkoani Tanga, wakati narudi nakuta meza yangu anafanyia biashara mtu mwingine.

Nilivyoenda ofisini kumuona Meneja ananambia eti kuna mtu alikuja ofisini kusema ananidai ndiyo wakamuita mtu ambaye nimemkuta anafanyia biashara meza yangu, eti amlipe aliyedai kuwa ananidai pasi ya mimi kuwepo.

Nimeumia sana kwani kitu hicho si cha kweli ila viongozi hapo wameingiwa na tamaa wakauza meza yangu, naombeni msaada wenu kwani meza hiyo ndio naitegemea kulisha familia yangu na kunipa pesa ya kumuuguzia mzee wangu.
 
Roho za kikatiri huwa tunatengenezewa na jamii inayotuzunguka, hapo niende na panga niwakatekate hao sijui mameneja jamii si itaniona mimi ni muuaji. Yani sehemu ya kupata ugali wangu na familia yangu unaiuza kihuni hivyo?? Sometimes roho za kikatiri tunatengenezewa.
 
Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo aitwae Gofrey akishirikiana na mtumishi mwenzie aitwae Kibadeni.

Viongozi hapo wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga kuwa nauguliwa na baba yangu Mkoani Tanga, wakati narudi nakuta meza yangu anafanyia biashara mtu mwingine.

Nilivyoenda ofisini kumuona Meneja ananambia eti kuna mtu alikuja ofisini kusema ananidai ndiyo wanamuita mtu ambaye nimemkuta anafanyia biashara meza yangu, eti amlipe aliyedai kuwa ananidai pasi ya mimi kuwepo.

Nimeumia sana kwani kitu hicho si cha kweli ila viongozi hapo wameingiwa na tamaa wakauza meza yangu, naombeni msaada wenu kwani meza hiyo ndio naitegemea kuliasha familia yangu na kunipa pesa ya kumuuguzia mzee wangu.
Ulitoa taarifa kipindi unaondoka?
 
Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo akishirikiana na mtumishi mwenzie.

Viongozi hapo wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga kuwa nauguliwa na baba yangu Mkoani Tanga, wakati narudi nakuta meza yangu anafanyia biashara mtu mwingine.

Nilivyoenda ofisini kumuona Meneja ananambia eti kuna mtu alikuja ofisini kusema ananidai ndiyo wanamuita mtu ambaye nimemkuta anafanyia biashara meza yangu, eti amlipe aliyedai kuwa ananidai pasi ya mimi kuwepo.

Nimeumia sana kwani kitu hicho si cha kweli ila viongozi hapo wameingiwa na tamaa wakauza meza yangu, naombeni msaada wenu kwani meza hiyo ndio naitegemea kulisha familia yangu na kunipa pesa ya kumuuguzia mzee wangu.
Nenda manispaa ongea na mkurugenzi ukitoka hapo nyoka polis mazima fata hatua za kisheria mpaka kieleweke nenda mpaka Kwa mkuu wa mkoa.

Tena wakulipe na gharama za usumbufu mpaka kieleweke hamna kumlazia muhuni damu Wala hakuna kumuonea muhuni huruma.

Yani walipe na gharama za kukusumbua
 
Hilo soko kesho tunalifunga,

Meza irudi,

Sitarudia tena.

Meza irudi.
 
Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo aitwae Gofrey akishirikiana na mtumishi mwenzie aitwae Kibadeni.
wa na tamaa wakauza meza yangu, naombeni msaada wenu kwani meza hiyo ndio naitegemea kulisha familia yangu na kunipa pesa ya kumuuguzia mzee wangu.
Ongea nae kustaarabu mwambie una muomba akurudishie meza yako kwa amani akikataa mwambie kabisa naenda kijijini Kuongea na wazee namna yakupata haki yangu ila utakua umecheleaa sana....
 
Back
Top Bottom