Ni takribani siku ya tano sasa wakazi wa Mbezi Juu, maeneo ya Makonde, Jogoo pamoja na mitaa ya Salasala hatupati huduma ya maji, huku DAWASA ikiwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu changamoto iliyopo.
Wananchi wengi wanateseka na wameanza kuzunguka na vidumu mitaani kutafuta maji, jambo ambalo...