DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea.
Imekuwa ni changamoto ya kujirudia rudia isiyopata utatuzi.
Maji yatatoka wiki moja halafu watatuma bili baada ya hapo...
Wakuu kwema,
Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile, ndogo sana.
Mpaka leo hii maji yanatoka kidogo kidogo sana kiasi kwamba hata kama mtu una tenki la...
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno.
Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua.
Pia soma:
- DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa
Wizara ya Maji
Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia.
Mradi huu kwa sasa umetelekezwa pesa ambayo waliachiwa kwa ajili ya kuendeleza mradi imeliwa na hakuna udhibiti ukusanyaji...
Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza kutoa ufafanuzi juu ya changamoto hii ambayo sasa imegeuka kuwa kero na hadha kubwa kwa wananchi...
Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga.
Maeneo mengi katika Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara yanachangamoto ya upatikanaji wa Maji safi na hii...
Awali nilileta lalamiko la kutokuwepo huduma ya maji kwa muda mrefu bila sababu yoyote huku magari ya kuuza maji yakiwa yanaranda mitaani kuuzia watu maji kwa gharama kubwa.
Tazama hapa: KERO - Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji...
Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea.
Mradi wa maji wa...
Sio siri huku tunako ishi mitaa ya Goba maji yamekuwa bidhaa adimu kiasi kwamba unalazimika kusubiria maji utadhani maji ya msaada.
Hali hii inanikera sana huwa najiuliza hivi kazi ya chama tawala ni ipi!? Ni kutuimbia tu manyimbo? Kama ni kuisimamia serikali mbona serikali haileti maji akati...
Wasalaam,
Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua tatizo hili ni sarakasi kila Leo. Ifike wakati CCM muwe na aibu mkiacha anasa za kununuliana ma V8 na...
Wakazi wa mtaa Mwarakani wanakumbana na changamoto ya maji kwani hudumu hiyo haijafikishwa kwenye makazi yao licha ya kuhangaika kusogeza huduma hiyo bila mafanikio kwenye maeneo yao.
Mamlaka husika zitusaidie kusogeza maji wananchi wako tayari kuchangia kusogezwa huduma hiyo.
Sasa yapata wiki Mtaa wa Mwananchi hatupati maji hatuelewi kuna tatizo gani. Mhe. Waziri wa Maji fanya mabadiliko ya haraka katika Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza(MWAUWASA) ili wananchi tuwe tunapata maji ya uhakika.
Habari za jioni ndugu,
Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima.
Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua mara moja kuondosha kero hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.