Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia.
Mradi huu kwa sasa umetelekezwa pesa ambayo waliachiwa kwa ajili ya kuendeleza mradi imeliwa na hakuna udhibiti ukusanyaji...