Waziri wa Mazingira, Mhe. Masauni
Mheshimiwa Masauni,
Waziri wa Mazingira,
Uchafu ni kitu chochote kilicho kwenye nafasi isiyo yake.
Mfano, uchafu wa kimazingira unaojulikana kama "kelele" ni changamoto kubwa katika maeneo ya mijini.
Uchafu wa aina hii ni chanzo cha ukosefu wa usingizi...