kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?
Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni...
Hello!
Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka.
Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority.
Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine.
Mfutaji ni Waziri wa...
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar.
Mzanzibar anafaida mara 2...
In a very serious note, Wazenji Wana uchungu na Nchi/kisiwa Chao, wanajua Haki zao na Wanajua kujenga hoja na kutafuta fursa kwa ajili yao na Ndugu zako na kesho Yao.
To be honest, Zanzibar wangepewa TANGANYIKA Leo hii, huu upumbavu unapendelea I am sure usingekuepo. Sio Vibaya kujipenda na...
Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na...
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayotawaliwa na marais wawili kwa wakati mmoja, mabunge mawili, nyimbo za taifa mbili, majaji wakuu wawili, katiba mbili, bendera mbili, maspika wawili, makamu wa rais sasa hivi watatu, marais wanaopigiwa mixinga 21 wawili nk
Zamani ilikuwa Rais akitokea...
Wakuu, habari za jioni.
Kwanza kabisa napenda kutamka wazi kwamba mimi ni Mtanzania ninaetamani tuwe na Muundo pendekezwa wa serikali tatu.
Nikirudi kwenye mada yangu, nimeshangazwa sana na kitendo cha serikali kuamua kutugawa katika matabaka kwa kutaka tutambulike Utanzania wetu ni wa Bara...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri,
Mimi ni katika waumini wa Muungano, na kawaida hua naupigia chapuo kutokana na manufaa yake kwa pande zote mbili.
Lakini hii ya leo imenifanya nishindwe kuvumilia hata kama nina kolomelo. Kuna kundi moja sogozi la waandishi nimeona kumetumwa tangazo la tuzo ya...
Kwa nionavyo mimi nchi yetu inako elekea ni kubaya sana.
Nasema hivi kwa sababu katika utawala huu unao jiita awamu ya sita bila ilani ya awamu hiyo, imeifanya nchi kuonekana inafanya promo ya upande mmoja wa muungano kuliko upande mwingine, kwa sasa ni jambo la kawaida kwa vyombo vyetu vikubwa...
Bwana Mbunge ameeleza sintofahamu iliyopo kati ya Zanzibar na Bara kwenye Biashara Kwa sababu Kuna utofauti mkubwa kiasi kwamba maingiliano ya biashara ni kama Nchi ziko Vitani wakati ziko kwenye Muungano
---
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Unguja @toufiqsturky amesema Zanzibar kuna changamoto kubwa...
Kutokana na muungano wa sasa kuwa na makando kando (kero za muungano) ambayo miaka nenda rudi hayajaweza kutatuliwa na kizazi cha babu zetu, baba zetu.
Sisi kizazi cha DOT COM ambacho hakina mbambamba tutahakikisha kero za muungano zinashughulikiwa na kuhakikisha taifa linastawi. Babu zetu na...
Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1
Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1.
Ukiangalia mlinganyo huo, uwiano wa idadi ya...
Kuanzia kwa Mwinyi mpaka aliyepita Shein, sifa kubwa iliyowawezesha kuuwezea Urais wa JMT ni cha kwanza walikuwa humble na hawakuwa na skendo chafu chafu.
Kimsingi ili Rais kutoka visiwani aweze kutoboa kuiongoza JMT ni lazima asifanye maamuzi ambayo yatawafanya Watanganyika wajione kama...
Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa siku mbili/tatu huwezi kuyaelewa. Adui wakubwa wa Wazanzibar ni:
1. CCM
Huku watu wote hawaitaki...
Nisingependa kukuchosha kwa kukuandikia notes bali wewe mwenyewe google ujifunze maana ya Taifa ( nation), Nchi( country) na Serikali ( government)
Ukichambua kimakini utagundua pale TANU na ASP zilipoungana tukawa na Utamaduni Mmoja wa kisiasa kimsingi hata Serikali ikawa ni Moja tu hii ya...
Huu ni utafiti usio rasmi! Yeyote mwenye mashaka aingie "field" kujiridhisha.
Watanganyika hawautaki kwa sababu hawakushirikishwa. Rais wao wa wakati huo alijiamulia mwenyewe bila kujali matakwa ya wananchi wengi.
Wazanzibar ndiyo kabisa, hawataki hata kuusikia. Nao kama wangeshirikishwa...
Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar, watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar, juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa watanganyika.
Mikopo inayokopwa na wakuu wa muungano sio kwa watanganyika tu bali hata kwa wazanzibar...
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama.
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda mwingi umetumika kujadili changamoto kuliko kuweka mawazo ambayo yatatatua changamoto hizo.
Uzi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.