Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5) Makamo wa raisi, mama Samia, ndiye atakaye kuwa raisi wetu kwa kipindi chote kilichobakia kuelekea...
It has been a tradition to relish the festival and celebrate the founders of our Union Mwalimu Nyerere and Abeid Karume to parades. However, it has been a sin, too dangerous for anyone to question or want to critique this Union.
My purpose here is not to question the history or legitimacy of...
Wale ndugu zetu 40,000 wa Tanzania waliofungua kesi mahakama ya Afika Mashariki juu ya kuhoji uhalali wa uwepo nchi ya Tanzania wamefikia wapi?
April 26, 2019 Tanzania imeadhimisha miaka 55 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Muungano huo ndio uliozaa Tanzania ambao uliasisiwa na...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni muungano wa kupigiwa mfano duniani na muungano uliodumu miaka 55 kwa sasa.
Ni dola mbili huru zilizoungana Tanganyika walipata uhuru wao Desemba 9/1961 na wapata kiti chao cha Umoja wa Kimataifa tarehe 14/Desemba 1961 namba ya kiti chao (GA Resolution 1667...
_Na Ahmed Rajab_
TUNAUHITIMISHA mfululizo huu wa makala matatu kuhusu Zanzibar baada ya kupinduliwa wa serikali huru ya Zanzibar Januari 12, 1964 kwa kuuangalia Muungano ulioundwa baina ya Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, mwaka huo.
Licha ya kuwa hai kwa miaka 55 hakuna asiyetambua kwamba...
Kwa mujibu wa Mkataba wa Muungano uliotiwa sahihi Aprili 22, 1964 kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, na kwa mujibu pia wa Sheria ya Muungano, Namba 22 ya 1964 iliiyoridhia Mkataba huo kuupa nguvu ya Kisheria na kutumika nchini, jina sahihi la Muungano...
Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe.
Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu.
Lengo langu si...
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
changamoto zamuungano tanzania
kerozamuungano
matatizo ya muungano wa tanzania
muungano wa tanganyika na zanzibar
tanganyika
tanganyika na zanzibar
tanzania
zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.