Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Leo niko Mbeya, hiki kibaridi cha Mbeya, kwa sisi tulio zoea mablangeti yale, hata ujifunike vipi, na blangeti zito kiasi gani, kibaridi bado kiko pale pale, kinapenya, unakisikia!, mpaka saa hizi uzingizi...