CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?
Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?