Kama kupambana mitandaoni ni udhaifu mahakama nayo ni dhaifu!?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?

Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
 
CHADEMA ni Chama Cha Siasa kilicho sahihi lakini kinatumia mbinu ambazo siyo sahihi katika kupambana na CCM.
 
CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?

Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
Kuna muda kamanda unaniangusha sana....
 
Wanatakiwa watulie waibiwe kura?

Biblia Takatifu,
Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo
 
CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?

Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
Mkuu,ulishawahi kuona hata mmoja wao mwenye akili njema?
 
CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?

Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
Huenda ni zaidi ya ule wa warriors
 
Kwa mfano walitakiwa kufanya nini?
Kwa mfano walitakiwa kufanya nini?
Akikujibu ntakutumia 10,000 ya Vocha.

Biblia Takatifu,

Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo."
 
Kwa ivo CHADEMA inaendeshwa Kwa kufuata Biblia?
 
Attachments

  • 1745934366589.png
    1745934366589.png
    3.3 MB · Views: 20
Back
Top Bottom