kesi ya mbowe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VUTA-NKUVUTE

    Kesi ya Mbowe na wenzake: Makomandoo 'wanaonewa'

    Jana nilikuwepo Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kuendelea kufuatilia kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Leo sikuweza kwenda kwakuwa ninatarajia kusafiri hivi punde. Nimemsikia na kumuona Luteni Denis Urio akitoa ushahidi wake. Nimemsikiliza kwa makini na kwa...
  2. William Mshumbusi

    Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  3. Suley2019

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 26/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12...
  4. Kurunzi

    Tetesi: Kuna uwezekano wa DPP Kufuta kesi ya Mbowe na wenzake Leo

    Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo. Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali Martin Maranja Masese amesema nanukuu " Leo kunaweza kuwa na Habari Njema wote tukasome Wagalatia...
  5. chiembe

    Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  6. Suley2019

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 24/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/...
  7. The Sheriff

    Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake leo 20/01/2022. Shahidi 10 amaliza, shahidi wa 11 mwingine...
  8. Fundi Madirisha

    Eeh Mungu, Waadhibu vikali wote waliochonga kesi ya Mbowe

    Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba wa ardhi na Mbingu, ndiye aliyeumba viumbe vyote na vyote viko chini ya himaya yake. Anatenda...
  9. Suley2019

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake leo 20/01/2022. Shahidi 10 amaliza, shahidi wa 11 mwingine kuanza ushahidi kesho 21/01/2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 20/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma...
  10. M

    Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

    Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa! Kila ishara inaonyesha hii kesi haina merit to affirm a...
  11. Replica

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  12. J

    Kesi ya Mbowe na Makomandoo unaweza kudhani Mawakili wa serikali na wale wa kujitegemea wanasoma vyuo tofauti

    Zamani sheria ilifundishwa pale UDSM " Mlimani" na IDM Mzumbe na kwa wakati ule tuliweza kuwatofautisha wale wa Mlimani na Mzumbe. Kwa sasa vyuo vya sheria ni vingi sana kikiwemo kile cha mahakama Lushoto, Tanga. Ninapofuatilia hii kesi ya Mbowe mahakama ya mafisadi nawaona mawakili wa utetezi...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Ukarimu wa Wana - CHADEMA: Wakati wa break mahakamani kwenye kesi ya Mbowe tunagawa chakula

    Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo...
  14. Nyendo

    Yaliyojiri Mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi yaahirishwa hadi 19/01/2022

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake 3 inaendelea leo 18, Jan 2022 katika mahakama ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi Januari 18, 2022 Ungana...
  15. Chakaza

    Kwanini magazeti ya Serikali na CCM hayaripoti kesi ya Mbowe?

    Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo. Hii...
  16. mdukuzi

    Gladys Fimbari shahidi kesi ya Mbowe amesahau umri wake?

    Nikiri tu kuwa namfahamu huyu shahidi vizuri, nimesoma nae shule ya msingi na nikafanya nae kazi sehemu. Akihojiwa jana kwenye cross examination na wakili Kibatala alidai ana miaka 36, Tulianza darasa la kwanza pamoja mwaka 1989. Kudai kuwa ana miaka 36 ina maana kazaliwa mwaka 1986/1985 je...
  17. Erythrocyte

    Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  18. Determinantor

    Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  19. K

    Je, Kabendera na Tito Magoti watafika mahakamani kama mashahidi wa utetezi? Kutajwa kwao kunalenga nini kwenye kesi ya Mbowe?

    Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa likiunganishwa na awamu iliyopita pamoja na ukweli kwamba kituo chake pamoja na kuwa Arusha alipewa...
  20. B

    Kesi ya Mbowe: Kesho kama ada tukutane Mahakamani

    Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai. Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania," kesho. Ikumbukwe mheshimiwa Jaji Tiganga ikimpendeza, analo angalizo letu la wazi...
Back
Top Bottom