Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Musoma, imemwachia huru George Mapuli Bukingi na kuhitimisha rasmi mfululizo wa kesi za vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, wilayani Bunda.
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Kakolaki, aliyekubali rufaa ya Bukingi iliyokuwa ikipinga...