key programming

  1. Adrianshield

    Msaada nahitaji kujifunza Key Programming za magari

    Samahani wana JF kama kuna fundi wa Key programming za magari naomba kujifunza. Mimi ni begginer kabisa ujuzi nilionao ni wa program za doagnosis na repair ndogo ndogo za umeme wa magari.
Back
Top Bottom