Nawaangalia Senegal, hii mechi wangecheza kiume wangeshinda, lakini wanapaka paka sana rangi mpira. Wangeingia na ile ari ya miaka ile ya Cameroon na Nigeria.
Mpira magoli, haina haja ya kupaka paka rangi. Mnapata, mnakimbiza golini, mnachana nyavu. Nao wanataka pasi na chenga za kipuuzi. Sijui...