kiafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

    Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri. Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
  2. Nyankurungu2020

    Tawala nyingi za kiafrika hunguka kutokana na Wakuu wa Nchi kupotoshwa na wapambe wao

    Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza . Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae wakajikuta wanapinduliwa. Maana kiongozi akipotoshwa huwa hasimamii kweli na madhara yake hufanya...
  3. x - mas

    "Malkia wa Ubembe" ni miongoni mwa dini za kiafrika kabla ya ukoloni na hadi leo, nahitaji kuifahamu dini hii kiundani zaidi

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Inasemekana "Malkia Wa Ubembe" ni moja ya dini zetu za asili za kiafrica hata kabla ya ujio wa dini za kisasa za wazungu na waarabu. Dini hii wafuasi wake ni watu kutoka kigoma Tanzania na watu wa mashariki mwa congo. Ningependa kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu...
  4. M

    Ni aibu kwa nchi za Afrika zinazoimba nyimbo za Taifa kwa lugha za kigeni

    Zamani hata kabla ya kuja wageni na dini za kigeni waafrika walimwomba Mungu kwa lugha zao na kulikuwa na matokeo ya haraka sana kuliko sasa katika dini za kigeni. Kuimba wimbo wa taifa kwa Kiingereza au Kireno au Kiarabu au Kifaransa hii ni sawa na kumkosea Mungu heshima, naipongeza Tanzania...
  5. CHASHA FARMING

    Huyu Dada kaongea ukweli wa kutisha kuhusu Familia za Kiafrica

    Dada anasema muda pekee ambao, Familia nyingi za Kiaafrica huwa pamoja ni wakati ambao wanajiandaa na msiba, Ila Hata siku moja Familia haiwezi kukaa pamoja ili kuanzisha biashara au project itakayo saidia ndugu zao ambao ni unemployed. Ndungu wengi sana hupenda kuona baadhi ya ndugu zao...
Back
Top Bottom