Yawezekana viongozi wetu wa kisiasa wanashindwa kutatua matatizo yanayowahusu wananchi kwa sababu mbili: Moja, hawana uwezo mzuri wa kufikiri na kutatua matatizo (Upeo wa akili zao ni mdogo).
Mbili, hawataki kutatua matatizo kwasababu matatizo ya wananchi ni fursa ya wao kuendelea kupata nafasi...