Dada anasema muda pekee ambao, Familia nyingi za Kiaafrica huwa pamoja ni wakati ambao wanajiandaa na msiba, Ila Hata siku moja Familia haiwezi kukaa pamoja ili kuanzisha biashara au project itakayo saidia ndugu zao ambao ni unemployed.
Ndungu wengi sana hupenda kuona baadhi ya ndugu zao...