kiafya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    SoC01 “Asbestos” kemikali yenye madhara makubwa kiafya iliyosahaulika katika mazingira yetu

    ASBESTOS NI NINI? Asbestos ni madini yanayochimbwa ardhini kama madini mengine. Kwa miaka iyoyopita asbsestos ilikuwa na bei nzuri katika soko la dunia kwa sababu ilikuwa na matumizi mengi katika viwanda. Tanzania asbestos inapatikana Ikorongo (Musoma), mbembe (Morogoro), Rubeho(Mpwapwa) na...
  2. K

    Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

    Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na nani anampelekea chakula? Kwa aina ya mahabusu zetu hakuna chakula, Kama mtuhumiwa mzee wa umri wa Mbowe asipokula na stress za...
  3. U

    SoC01 Kufanikiwa ni kutoka kwenye hatua moja ya kimaisha kwenda hatua inayofuata

    Kufanikiwa ni nini? Ni kutoka kwenye hatua moja ya chini ya kimaisha kwenda hatua inayofuata.Maranyingi watu wa mataifa yanayo endelea hasa yakipato cha chini au cha kati kiwango chao cha maendeleo ni chachini ukilinganisha na watu wa mataifa yalio endelea. Kuna sababu nyingi lakini kwenye...
  4. DESDERIUS KWIZERA MATITI

    Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

    Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
  5. J

    Faida za kiafya zitokanazo na kunywa maji ya kutosha

    Maji husaidia mmeng'enyo au usagaji wa Chakula na mara nyingine hutuliza Maumivu ya Kichwa endapo maumivu hayo yametokana na upungufu wa Maji mwilini. Kunywa Maji ya kutosha kunaweza kukusaidia kupata haja kubwa kiulaini na mara nyingi zaidi Pendezesha ngozi yako kwa kunywa Maji ya kutosha...
  6. mdalla 1

    Nini madhara ya matumizi ya ugoro?

    Ndugu wataalamu wa afya, husika na kichwa tajwa hapo juu. Kutokana na zuio la Serikali juu ya uuzaji na utumiaji wa pombe aina ya viroba hapa nchini, vijana wengi wa Kitanzania sasa wamejikita na matumizi ya ugoro. Je, nini athari na faida zake kwa ujumla?
Back
Top Bottom